Financial Freedom
JF-Expert Member
- Nov 14, 2016
- 1,246
- 2,299
Klugger ni SUV moja inajitosheleza sana kwa mambo mengi hasa kwenye uchumi wa kati pia ina mwonekano wa kiboss fln hv.Habari wakuu,
Nimetembea majiji mbalimbali esp DSM,Arusha,Mbeya,Tanga na Mwanza Ila Mwanza magari Aina ya Kluger ni mengi Sana na Arusha kidogo afu wachina pia wanayatumia.Siri ya kutumia magari haya ni ipi?
Jibu sahihi;Klugger ni SUV moja inajitosheleza sana kwa mambo mengi hasa kwenye uchumi wa kati pia ina mwonekano wa kiboss fln hv.
Kanda ya ziwa huwa kuna trend ya Magari mkuu, wale jamaa wakiikubali model fln ni fujo
Hahaha yaani ni fujo kushoto,kulia,mbele,nyuma ni Kluger Japo na Mimi Nina Kluger ila imezidiKlugger ni SUV moja inajitosheleza sana kwa mambo mengi hasa kwenye uchumi wa kati pia ina mwonekano wa kiboss fln hv.
Kanda ya ziwa huwa kuna trend ya Magari mkuu, wale jamaa wakiikubali model fln ni fujo
Kama wa Chagga wanavo pendelea rav4 kili time sijui kwanini hilo kabila linapenda sana hiyo gari.Jibu sahihi;
Wasukuma wanapenda kuiga alichonunua msukuma mwenzie.
Hahaha kila kabila lina kaushamba wake.Kama wa Chagga wanavo pendelea rav4 kili time sijui kwanini hilo kabila linapenda sana hiyo gari.
Nasikia Mkoa wa Mara hasa Sirari nao gari yao ni ProboxHahaha yaani ni fujo kushoto,kulia,mbele,nyuma ni Kluger Japo na Mimi Nina Kluger ila imezidi
Hii ni kweli...Nasikia Mkoa wa Mara hasa Sirari nao gari yao ni Probox
Zile wana zitumia kama daladala wameiga kutoka Kenya kwa siku probox pale Silali inalaza 50k sawa sawa na hiace ni biashara malidadi sanaNasikia Mkoa wa Mara hasa Sirari nao gari yao ni Probox
Naorobi ni kweli zimejaa sanaZile wana zitumia kama daladala wameiga kutoka Kenya kwa siku probox pale Silali inalaza 50k sawa sawa na hiace ni biashara malidadi sana
Suzuki vitara, escudo na prado mchagaKama wa Chagga wanavo pendelea rav4 kili time sijui kwanini hilo kabila linapenda sana hiyo gari.
Ongeza Sirari kule Mara ni proboxNgara na Kigoma probax, aka michomoko
Wachaga wanapenda Rav 4 Manka/Massawe,sio Ile killtimeKama wa Chagga wanavo pendelea rav4 kili time sijui kwanini hilo kabila linapenda sana hiyo gari.
Mkuu, saivi ni m ngapi hizo klugerHahaha yaani ni fujo kushoto,kulia,mbele,nyuma ni Kluger Japo na Mimi Nina Kluger ila imezidi
Uko sahihi, kuna kipindi waliibuka na Toyota Surf ilikuwa fujo.Klugger ni SUV moja inajitosheleza sana kwa mambo mengi hasa kwenye uchumi wa kati pia ina mwonekano wa kiboss fln hv.
Kanda ya ziwa huwa kuna trend ya Magari mkuu, wale jamaa wakiikubali model fln ni fujo