Kwanini Mwanza magari mengi ni Kluger?

Kanda ya ziwa matajiri karibia wote wanaurafiki hivyo hata vitu huwa wanaigana na kushauriana kununua
 
Zile wana zitumia kama daladala wameiga kutoka Kenya kwa siku probox pale Silali inalaza 50k sawa sawa na hiace ni biashara malidadi sana
Kuna jamaa yangu alikuwa RTO huko naye aliinunua akiwa huko humwambii kitu kuhusu probox😂
 
Kuna kabila fulani wana mambo ya kuigana, akiona mwenzia amenunua kifu fulani nae atanunua hicho hicho ndio mana ukiemda moja ya wilaya moro kuna prado nyingiii,
 
Ni umasikini tu 23M izo klugger za 2006,7,8 Tazania sijawai ona klugger ya 2018 na kuendelea
 
Wewe una ya mwaka gani? Au ndio bado upo kwa sister hapo unatafuta ajira

Hata wewe unae kaa kwenye nyumba iliyo jengwa tangu 2005 pia ni maskini tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…