Kwanini Mwenyekiti wa CCM ndio awe mteuzi wa Tume ya Uchaguzi?

Kwanini Mwenyekiti wa CCM ndio awe mteuzi wa Tume ya Uchaguzi?

Bujibuji Simba Nyamaume

JF-Expert Member
Joined
Feb 4, 2009
Posts
76,107
Reaction score
160,001
Kamwe haki na usawa haviwezi kuwepo kwenye uchaguzi wa nchi hii Hadi pale rais atakapo ondolewa mamlaka na madaraka ya uteuzi wa Tume ya Uchaguzi.
Nashauri yafanyike mabadiliko ya katiba, Tume ya Uchaguzi iundwe na bunge au na mahakama ili kuondoa malalamiko na watu kuona hawajatendewa haki.
CCM oyeeeee
CHADEMA juuu juuuuu juuuuu zaidi
cuf ngangariiiiiiiii
ACT Wazalendo imara
 
Back
Top Bottom