Kamwe haki na usawa haviwezi kuwepo kwenye uchaguzi wa nchi hii Hadi pale rais atakapo ondolewa mamlaka na madaraka ya uteuzi wa Tume ya Uchaguzi.
Nashauri yafanyike mabadiliko ya katiba, Tume ya Uchaguzi iundwe na bunge au na mahakama ili kuondoa malalamiko na watu kuona hawajatendewa haki. CCM oyeeeee CHADEMA juuu juuuuu juuuuu zaidi cuf ngangariiiiiiiii ACT Wazalendo imara