Penguinelli Cactussini
Senior Member
- May 23, 2022
- 106
- 383
InasikitishaHii ni falsafa ya kuuma na kupuliza, kutengeneza tatizo halafu kulitatua na kujisifu kuwa umetatua tatizo.
Kwa hiyo yule wa Karagwe alikuwa anamgomea boss wake kufungua??Huyo ametumwa na boss wake
Hii ni falsafa ya kuuma na kupuliza, kutengeneza tatizo halafu kulitatua na kujisifu kuwa umetatua tatizo.
Kama hawakulifungia mbona wamelifungulia?Kwani serikali ililifungia? Si walikataa hawa kuwa halijafungiwa.
Mbaya zaidi baadhi ya waumini watashangilia kwa kutokufahamu tu mbinu za kisiasa!!!!!Hii ni falsafa ya kuuma na kupuliza, kutengeneza tatizo halafu kulitatua na kujisifu kuwa umetatua tatizo.
Wanajitahidi kupunguza nguvu za D9Ikiwa serikali inaamini kuwa kanisa la askofu Gwajima walikuwa na kosa why walifungulie kanisa hilo?
Hili sio suala la “favor” isipokuwa ni kukandamizwa kwa uhuru wa kuabudu kulikofanywa na waliozuia huduma za kanisa hilo kuendelea wakati ule.
Ukandamizaji ulifanywa na sasa wanarudishiwa pawa kama favor ilhali ni haki waumini wale kuabudu na ni UKANDAMIZAJI ulifanyika kuzuia wasiabudu.
Kosa la gwajima ni lipi, taja sentensi moja ya kumfanya awe na makosa tukupe mamia ya sentensi walizosema wengine na bado makanisa ama misikiti yao haijafungiwaSerikali tangu mwanzo walikosea.
Wakufungiwa ni Gwajima na sio kanisa.
Sasa wamefungulia kanisa.
Ila Gwajima bado ana kesi ya kujibu.
Na ndio walitakiwa wafanye tangu mwanzo.
Sasa wamerekebisha . Ila Bado unasema kwanini?.
Dah wa TZ sisi.