Mjusi Sharobalo
JF-Expert Member
- Sep 4, 2025
- 8,306
- 14,632
Mbogamboga ni watu wa hovyo sana.
Jasusi yule hawampati kirahisi.Ni mtego huo gwaji boy asijipeleke atapotea mazima
Serikali iliyokosea inawajibishwa vipi? Kama Gwajima analo la kujibu basi na serikali inali la kujibu.Serikali tangu mwanzo walikosea.
Wakufungiwa ni Gwajima na sio kanisa.
Sasa wamefungulia kanisa.
Ila Gwajima bado ana kesi ya kujibu.
Na ndio walitakiwa wafanye tangu mwanzo.
Sasa wamerekebisha . Ila Bado unasema kwanini?.
Dah wa TZ sisi.
Ndo nashangaa hata mimiKama hawakulifungia mbona wamelifungulia?
The intended move to outsmart the majestyIkiwa serikali inaamini kuwa kanisa la askofu Gwajima walikuwa na kosa why walifungulie kanisa hilo?
Hili sio suala la “favor” isipokuwa ni kukandamizwa kwa uhuru wa kuabudu kulikofanywa na waliozuia huduma za kanisa hilo kuendelea wakati ule.
Ukandamizaji ulifanywa na sasa wanarudishiwa pawa kama favor ilhali ni haki waumini wale kuabudu na ni UKANDAMIZAJI ulifanyika kuzuia wasiabudu.