Kwanini Mwigulu aagize kanisa la askofu Gwajima lifunguliwe?

Serikali tangu mwanzo walikosea.
Wakufungiwa ni Gwajima na sio kanisa.

Sasa wamefungulia kanisa.
Ila Gwajima bado ana kesi ya kujibu.

Na ndio walitakiwa wafanye tangu mwanzo.

Sasa wamerekebisha . Ila Bado unasema kwanini?.
Dah wa TZ sisi.
Serikali iliyokosea inawajibishwa vipi? Kama Gwajima analo la kujibu basi na serikali inali la kujibu.

Sheria ni msumeno
 
The intended move to outsmart the majesty
 
nusuhela Vesuvius Gwajima kiuhalisia hajakosea.

Ukiacha kukemea vitendo vya utekaji . Aliongelea pia kuwa genge linalohusika na utekaj linafahamika na wahusika wake walitajwa na sativa. Je kwann hawachukuliwi hatua?.
Na akashtumu ndio hao hao waliomteka Polepole.

Na vyombo vya Ulinzi viko kimya.
Na hapa ndio alienda nje ya mfumo. Maana alisema pia kuwa wanaoteka wanafahamika ila vyombo vya Ulinzi vinaogopa.

Hili ndio kubwa lililofanya wenye mamlaka husika kumchukia Gwajima.

Pamoja hana Kesi ya kujibi . Ila akienda Polisi watamweka ndan na itachukua mwez mzima kwenda mahakaman na mwaka mzima kesi kuisha . Ni usumbufu wa kimakusudi wanakufanyia hata kama huna kesi.
 
Makanisa ya askofu Gwajima wasiyafungue makanisa yao. Serikali ikaeleze mahakamani kwanini waliyafungia.

Makanisa ya askofu Gwajima yasikubali kutumika kusafisha dhambi za watawala waovu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…