Una mwanasheria mzuri?😀😀🤣🤣🤣Kama unapotoshwa kila kitu maana yake wewe ni kilaza
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Una mwanasheria mzuri?😀😀🤣🤣🤣Kama unapotoshwa kila kitu maana yake wewe ni kilaza
Mtu sahihi anakuwaje?Ninachokiona mh Rais anawaamini watu ambao sio sahihi.
Majuto ni mjukuuHahaha Rais Samia anavyowapenda hawa waheshimiwa anakuambia mwanangu January etc. Ila atakuja kustuka akiwa kachelewa sana
Anatoa ushauri sahihi, au kufanya vitu sahihi na kuleta matokeo chanya katika eneo/ kazi yake.Mtu sahihi anakuwaje?
Una uhakika upi hao watu sio sahihi. Kama ni kwa hizi taarifa za humu ndani, una ushahidi gani kama sio fitina tu za mitandaoni?.Ninachokiona mh Rais anawaamini watu ambao sio sahihi.
Nchi inapenda sana maneno ya kwenye kanga. Lakini ilishakabidhiwa kwa Mungu tangu 8-12-1961 hivyo mawimbi huwa yanakuja na kupita tu.Sukuma gang kubalini tu kuwa marehemu hawezi rudi na wakati wenu umeshapita. Hizo ngonjera zenu mnazozijaza humu dhidi ya Makamba, Mwigulu na Nape tumeshazizoea humu
Sina uhakika wowote. Case closed.Una uhakika upi hao watu sio sahihi. Kama ni kwa hizi taarifa za humu ndani, una ushahidi gani kama sio fitina tu za mitanda