Mwanamwaiche
JF-Expert Member
- Apr 13, 2022
- 665
- 968
Sio Kwa uchumi wa Dunia ya Sasa, he is the only guy who can balance the balance sheet, amini anajua ila shida labda wizi na kiburi, jeuri na dharau, sifa za kuwa hapo anazo. Aombe msamaha wa matusi yake na dharau vingine namlinda anaweza na anafaa hasa hizi nyakati ngumuHiyo Wizara hata akipewa Zezeta ataiweza tu.
Hiyo tabia tulitegemea kuiona kwa Waziri wa Kihaya,sio Mnyiramba kwakweli, Umma umepanga kuona anaadhibiwa na Raisi wetu mpendwa.Aombe msamaha wa matusi yake na dharau
Hawezi kuadhibiwa huyo ndio kashikilia mhimili wa kujikwamua kiuchumi katika serikali ya Samia, amini msiaminiHiyo tabia tulitegemea kuiona kwa Waziri wa Kihaya,sio Mnyiramba kwakweli Umma umepanga kuona anaadhibiwa na Raisi wetu mpendwa.
Basi ataenda nae Unguja 2025.Hawezi kuadhibiwa huyo ndio kashikilia mhimili wa kujikwamua kiuchumi katika serikali ya Samia, amini msiamini
Mbona unan'gan'gania sana kuwa he is the only guy? acha dharau kwa watanzania kijana, kama amaekutuma ungekunywa maji ukatulia.Sio Kwa uchumi wa Dunia ya Sasa, he is the only guy who can balance the balance sheet, amini anajua ila shida labda wizi na kiburi, jeuri na dharau, sifa za kuwa hapo anazo. Aombe msamaha wa matusi yake na dharau vingine namlinda anaweza na anafaa hasa hizi nyakati ngumu
Kwenye timu yao ya wanamtandao ni yeye tuMbona unan'gan'gania sana kuwa he is the only guy? acha dharau kwa watanzania kijana, kama amaekutuma ungekunywa maji ukatulia.
Huwezi kuwaambia Ndugu zako, Wadogo zako, Kaka zako, Shangazi zako, Wazee wako, wahamie Burundi kwasababu tu eti umeamua.
Mwigulu ajitathmini, kiburi kimemjaa sana.
Taasisi ya urais imechafuka sana Kwa wananchi, mwigu lazima atolewe kafara kuisafisha.
By the way nani alimwambia aje na msururu mkubwa bungeni kama kiongozi mkuu??
Nani alishauri kununua V8 ktkt ya maumivu ya tozo?
Nan alimpa kiburi kurudia mara mbili kuwambia watz kuhamia Burundi???
Hiyo tabia tulitegemea kuiona kwa Waziri wa Kihaya,sio Mnyiramba kwakweli Umma umepanga kuona anaadhibiwa na Raisi wetu mpendwa.
Charles KIMEI au Prof ASSAD, wanafaa nafasi hiyo.Atolewe uwekwe wewe
Charles KIMEI au Prof ASSAD, wanafaa nafasi hiyo.
Ni Kwa maslah ya Taifa. Ameeen
Mpeleke awe kiongozi wa ukoo wenu.Unajipigia Debe , Mwigulu anatosha hapo apunguze kujidai na majibu mabaya
Mpeleke awe kiongozi wa ukoo wenu.
Si busara kuiingiza familia yake kwenye game ya Kisiasa.Mwigulu husifatishe tabia za kuna game za mke wako na ni mlokole mwenye nyodo aliechanganyikiwa na Maisha simama kama wewe uje kua Raisi
Si busara kuiingiza familia yake kwenye game ya Kisiasa.
Umetumwa wewe sio bureeeTangu Kikao cha Kamati Kuu ya CCM kuzungumzia suala Tozo la miamala naona kampeni kubwa inafanyika ndani ya CCM kutaka kumfukuza uwaziri Dk. Mwigulu Lameck Nchemba kwa kile kinachoonekana kusababisha matatizo makubwa kwa wananchi.
Kwanini iwe Mwigulu Nchemba peke yake, Je ni kweli katika Serikali hii ni Waziri Mwigulu pekee aliyefanya mambo mabaya na kusababisha wananchi kupata shida? Kwanini wengine hawatajwi kuna nini?
Kwanini Januari Makamba hatajwi?
Kwanini Hussein Bashe hatajwi?
Kwanini Nape Nnauye hatajwi?
Auhao Wizara wanaziziongoza hazijawakosea watanzania?
Mwigulu aondoke tu kwa shombo zake kwa umma wa watanzania. Awajibike kwa kauli zake za DHARAU na kejeli kwa watanzania. Tuhamie Burundi!. Kweli kweli kweli! Mtawala anaelipwa kodi za watanzania wanaodhulumiwa kwa tozo anatuambia tuhamie Burundi?. Hapana hapana hapana hapana Ondoka Mwigulu ondoka Mwigulu ondokaaaaaaaaaaaa!.Mwigulu anaangushiwa zigo tu. Mchawi hapa ni rais Samia
Sasa unategemea uambiwe Nini Sasa kama hulipi Kodi. Unakuta kubwa Zima humu linalalama hata tin number halina. Hopeless ufipa ndio mmeona ni agenda hii. Mwigulu chapa KAZI. Hakikisha matumizi ya fedha hizi za tozo yananufaisha watu wa Hali ya chini.Tunapolalamika kuwa Tozo zinabana na kuumiza unasema "Hamieni Burundi kweli..." UTU uko wapi?