Kwanini Mwigulu peke yake?

Kwanini Mwigulu peke yake?

Hiyo Wizara hata akipewa Zezeta ataiweza tu.
Sio Kwa uchumi wa Dunia ya Sasa, he is the only guy who can balance the balance sheet, amini anajua ila shida labda wizi na kiburi, jeuri na dharau, sifa za kuwa hapo anazo. Aombe msamaha wa matusi yake na dharau vingine namlinda anaweza na anafaa hasa hizi nyakati ngumu
 
Hiyo tabia tulitegemea kuiona kwa Waziri wa Kihaya,sio Mnyiramba kwakweli Umma umepanga kuona anaadhibiwa na Raisi wetu mpendwa.
Hawezi kuadhibiwa huyo ndio kashikilia mhimili wa kujikwamua kiuchumi katika serikali ya Samia, amini msiamini
 
Sio Kwa uchumi wa Dunia ya Sasa, he is the only guy who can balance the balance sheet, amini anajua ila shida labda wizi na kiburi, jeuri na dharau, sifa za kuwa hapo anazo. Aombe msamaha wa matusi yake na dharau vingine namlinda anaweza na anafaa hasa hizi nyakati ngumu
Mbona unan'gan'gania sana kuwa he is the only guy? acha dharau kwa watanzania kijana, kama amaekutuma ungekunywa maji ukatulia.
 
Huwezi kuwaambia Ndugu zako, Wadogo zako, Kaka zako, Shangazi zako, Wazee wako, wahamie Burundi kwasababu tu eti umeamua.

Mwigulu ajitathmini, kiburi kimemjaa sana.


Mwigulu ni kauli zake zisizofaa kwa Wananchi na nyodo ukiacha hayo ni kiongozi mzuri sana na ni Mzalendo wa kweli
 
Taasisi ya urais imechafuka sana Kwa wananchi, mwigu lazima atolewe kafara kuisafisha.

By the way nani alimwambia aje na msururu mkubwa bungeni kama kiongozi mkuu??

Nani alishauri kununua V8 ktkt ya maumivu ya tozo?

Nan alimpa kiburi kurudia mara mbili kuwambia watz kuhamia Burundi???


Atolewe uwekwe wewe
 
Hiyo tabia tulitegemea kuiona kwa Waziri wa Kihaya,sio Mnyiramba kwakweli Umma umepanga kuona anaadhibiwa na Raisi wetu mpendwa.


Ameoa mmachame picha linaanzia hapo , na ndio influencer wake . Ni kweli wanyiramba hawana majivuno na kiburi
 
Mpeleke awe kiongozi wa ukoo wenu.


Wivu tu , msonyooo amefanya kosa gani ameua? Ni mwanadamu Anajisahau amezungukwa na wenye aKili ndogo anatakiwa abadilike sio kutolewa

Wewe ndio utajenga uchumi wa Nchi na kutulisha watanzania nikimpleka Kua kiongozi wa ukoo wetu
 
Mwigulu husifatishe tabia za kuna game za mke wako na ni mlokole mwenye nyodo aliechanganyikiwa na Maisha simama kama wewe uje kua Raisi
Si busara kuiingiza familia yake kwenye game ya Kisiasa.
 
Tangu Kikao cha Kamati Kuu ya CCM kuzungumzia suala Tozo la miamala naona kampeni kubwa inafanyika ndani ya CCM kutaka kumfukuza uwaziri Dk. Mwigulu Lameck Nchemba kwa kile kinachoonekana kusababisha matatizo makubwa kwa wananchi.

Kwanini iwe Mwigulu Nchemba peke yake, Je ni kweli katika Serikali hii ni Waziri Mwigulu pekee aliyefanya mambo mabaya na kusababisha wananchi kupata shida? Kwanini wengine hawatajwi kuna nini?

Kwanini Januari Makamba hatajwi?
Kwanini Hussein Bashe hatajwi?
Kwanini Nape Nnauye hatajwi?

Auhao Wizara wanaziziongoza hazijawakosea watanzania?
Umetumwa wewe sio bureee
 
Mwigulu anaangushiwa zigo tu. Mchawi hapa ni rais Samia
Mwigulu aondoke tu kwa shombo zake kwa umma wa watanzania. Awajibike kwa kauli zake za DHARAU na kejeli kwa watanzania. Tuhamie Burundi!. Kweli kweli kweli! Mtawala anaelipwa kodi za watanzania wanaodhulumiwa kwa tozo anatuambia tuhamie Burundi?. Hapana hapana hapana hapana Ondoka Mwigulu ondoka Mwigulu ondokaaaaaaaaaaaa!.
 
Alisema tuhamie Burundi kama kwamba nchi hii na Burundii ya wazee wake; hivyo anayo mamlaka ya kutupanga kama konda wa daladala anavyopanga abiria.
 
Tunapolalamika kuwa Tozo zinabana na kuumiza unasema "Hamieni Burundi kweli..." UTU uko wapi?
Sasa unategemea uambiwe Nini Sasa kama hulipi Kodi. Unakuta kubwa Zima humu linalalama hata tin number halina. Hopeless ufipa ndio mmeona ni agenda hii. Mwigulu chapa KAZI. Hakikisha matumizi ya fedha hizi za tozo yananufaisha watu wa Hali ya chini.
 
Back
Top Bottom