Zinahifadhiwa wapiYanga hakuna huo ujinga wa Mali za club kuhifadhiwa na mtu nyumbani kwake.
😂😂😂😂Simba ni Mali ya Bi Hindu, Kilomoni ni mwenzi
Swali lako ni la msingi sana kwa mtazamo wangu, namna alivyoipata ndio kunampa nguvu ya kuishikilia kana kwamba ndiye mmiliki wa simba au mmiliki wa lile jengo. Tuanzie hapo.Asante kwa kunipanikia
Kama Yanga hakuna huo ujinga basi wewe ndio mjinga maana hujui chochote.Hati ya Yanga ipo Zanzibar kwa Mama KarumeYanga hakuna huo ujinga wa Mali za club kuhifadhiwa na mtu nyumbani kwake.
KILOMONI, KILOMOMI UNAITAKIA NINI SIMBA WEWE KILOMONI, HUONI MAMBO YALIVYO MUKIDE, in Maulidi Kitenge's voiceWadau nimekuwa nafuatilia sana nyuzi mbalimbali humu juu ya Klabu ya Simba.Pia nimemsikia Mzee Kilomoni akisema anayo Hati Klabu ya Simba na haitoi.Najiuliza kwanini Mzee Kilomoni anakuwa na Hati ya Klabu ya Simba?Pili kwanini Mzee Kilomoni anasema Haitoi kwa Uongozi?Je Klabu ya Simba ni mali ya Mzee Kilomoni?Je Mzee Kilomoni anaidai Klabu ya Simba ndio sababu ya kuishikiria Hati?Na mwisho kama Hati ni ya Klabu ya Simba kwanini iwe kwa mtu binafsi na isiwe Klabuni?
Kama Yanga hakuna huo ujinga basi wewe ndio mjinga maana hujui chochote.Hati ya Yanga ipo Zanzibar kwa Mama Karume
Kweli mkuuSisi ngozi nyeusi tuna roho mbaya na wivu wa kijinga sana, wengi wanaopinga udhamini wa Mo simba hawana point ya maaana, uwekezaji wa mpira ni kama baishara nyingine, manataka MO apate hasara au faida? Pili hao wazee wanao uwezo wa kuwekeza simba au kutafuta muwekezaji mwenyewe moyo, nguvu na motisha kama Mo Dewji?
Sawa labda kuna taratibu hazikwenda sawa, kwa nini wasikae pamoja na kuzitatua? Zaidi hawa wazee mana mchango gani kwenye mpira wa kisasa wenye ushandani mkubwa na pesa nyingi?
Haya mambo sijui ya wazee wa timu sijui nani ndio yanafanya vilabu vyetu na timu ya taifa tunakwama kabisa.
Huyu mzee anaweza baki nayo hiyo Hati kama na simba ikaendela na mashabiki tukafarahi.
Mwisho, haww wazee wakekosa sehemu ya kula kama zamani, hakuna pesa ya mwindi inatoka kifala kama wanavyodhani wanafikiri Mo atawaita chemba awape mpunga wakutosha ndio watoe?
Bora achane na simba kuliko kuwaonga awachie tuone what next..
Sisi tunamfilisi MhindiHii battle tamu sana!
Mzee anamjambisha Gabachori!
Umezaliwa juzi utayajuaje ya Hati mkuu wewe nenda uwanjani shangilia tuUliipeleka wewe?