Kwanini mzee Yusuph kaacha mziki na Diamond anaendelea..wote si wana imani moja?

dvj nasmiletz

JF-Expert Member
Joined
Jul 23, 2018
Posts
2,079
Reaction score
2,254
Mzee alisema haiimbi tena nyimbo za kidunia ..dini hairuhusu

Vp kwa kijana mondi...au yeye dini yake inaruhusu
 
Kuna taarifa zinaendelea mitandaoni kwamba Nicky Minaj anakwenda kupiga show ya kufa mtu huko Saudi Arabia. Sasa kama huko Mecca kwenyewe wanamkubali Nicky Minaj basi naomba huu mjadala uishie hapahapa.
 
Ni Jeddah. Tena hapo penyewe awe na ulinzi maana kama vile hawajakubaliana na hilo, kwa staili yake ya mavazi na nyimbo zake.

Hawezi kuperform Mecca wakamkubalia. It's the holy city according to Muslim and only Muslims are allowed to inter the city.
Relief Mirzska nimekwiva? Au nirudi kwenye thread kusoma?
 
Okay Jeddah, but still in Saudi Arabia, a country which performs sharia law. Na huko hii imani mnayofuata nyinyi ndio ilikotoka, sasa inakuwaje wamuhoji mbongo kuhusu kuimba?

Kuhusu ulinzi mkali, Nicky Minaj hata akiwa nyumbani kwao New York City ulinzi si wa kitoto.
 
Imani ya dini huwa inapanda na kushuka kama vile upendo wa mke kwa mumewe. Kuna vitu ambavyo ukiwa unafanya imani ya dini huwa inapanda, lakini pia vipo vinavyoshusha.

Kuwa mwanamziki katika imani ya dini ya kiislam bado uko mbali sana na rehema za mungu kama si kutokuwepo kabisa. Hivyo Yusuph mungu alimjalia kuliona hilo, ama kuhusu nasibu mungu mwenyewe ndo mjuzi.

Maana mwisho kabisa kuumcha na kumtumikia mungu ipasavyo linabaki kuwa ni suala la wongofu kutoka kwake, ndio maana huwa tunaomba Allah atujalie mwisho mwema.
 
Hapana mkuu Mimi ni Mkristo nilikuwa naweka tuu sawa kwamba hataperfom Mecca.

Hiyo ya kuhoji kisa Mzee Yussuf aliacha kuimba haina maana kwa sababu kila mtu anaiona Pepo kwa namna yake. Labda huyo aliona ndiyo njia yake ya kuwa karibu na Mungu haimaanishi wote wafuate.

Dini haziruhusu kuzini na Mimi nikiacha kuzini haimaanishi wote waache kisa Mimi nimeiacha. (Ni mfano). Hatakiwi kumfananisha diamond na Mzee Yusuf.

Ni lazima alindwe yule ni Malkia wa Rap. Na itakuwa vizuri kama ataingia na ulinzi wake kule .
 
Kuna taarifa zinaendelea mitandaoni kwamba Nicky Minaj anakwenda kupiga show ya kufa mtu huko Saudi Arabia. Sasa kama huko Mecca kwenyewe wanamkubali Nicky Minaj basi naomba huu mjadala uishie hapahapa.
Ataimba na ule wimbo anaconda? Au
 
Asantee
 
Kuna taarifa zinaendelea mitandaoni kwamba Nicky Minaj anakwenda kupiga show ya kufa mtu huko Saudi Arabia. Sasa kama huko Mecca kwenyewe wanamkubali Nicky Minaj basi naomba huu mjadala uishie hapahapa.
Hata WWE Supershow Down ilipigwa Jeddah ila wanawake hawakupigana siku hiyo. Watu na vichupi kama kawaida, full ngumi tu. Saudia Arabia siku hizi hawakazi sana kama zamani.
Welcome to monday night Raw and Smackdown. Jiandae na extreme rules.
 
Mzee alisema haiimbi tena nyimbo za kidunia ..dini hairuhusu

Vp kwa kijana mondi...au yeye dini yake inaruhusu

Mbona mnamwandama sana domo...!?
Kibakuli yeye naye si wa dini hiyo hiyo...?!

... ngoja kwanza nipate mdudu hapa kwa swai na coke baridi!
 
Word!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…