Hiram Abiff
JF-Expert Member
- Apr 14, 2013
- 896
- 676
kwa sababu mmoja alishamaliza kafara zote mmoja bado
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
jamani nick na lile tako lake ananiumizaga rohoKuna taarifa zinaendelea mitandaoni kwamba Nicky Minaj anakwenda kupiga show ya kufa mtu huko Saudi Arabia. Sasa kama huko Mecca kwenyewe wanamkubali Nicky Minaj basi naomba huu mjadala uishie hapahapa.
Dini na imani ni vitu tofauti.Mzee alisema haiimbi tena nyimbo za kidunia ..dini hairuhusu
Vp kwa kijana mondi...au yeye dini yake inaruhusu
Yale MZEE aliyoyafanya kwa Wanamziki wenzake hususani Five 5 na wengine, ndo yalimfanya atubu!
ila vinaenda pamoja au niko wrongDini na imani ni vitu tofauti.
NimekusomaSaudi ni nchi kubwa lakini Miji ya Mecca na Madinah ndio miji ya kiislamu kisheria. sasa kwenye hiyo miji miwili hakufanyiki mambo ya kipuuzi puuzi kama hayo. Huko kwengine wanaweza wakijafanyia tu.
Sasa ni tafauti kabisa ya Dar na Tanzania. Mana Mecca kuna taratibu zake mbali ambazo Miji mengine ya Saudi hazipo.
Dini ni njia imani ni kuamini, unaweza usiamini Mungu lakini ukamuamini mtu.ila vinaenda pamoja au niko wrong
Umemuona diamond tu????? Kina kibakuli na jux hujawaona??????Mzee alisema haiimbi tena nyimbo za kidunia ..dini hairuhusu
Vp kwa kijana mondi...au yeye dini yake inaruhusu
Alifanya nini mkuu ?Yale MZEE aliyoyafanya kwa Wanamziki wenzake hususani Five 5 na wengine, ndo yalimfanya atubu!
Njaaa mbaya amepata pesa amestaafu.. 😂Huyo mzee Yusuph wakati anaanza kuimba hakujua kama dini hairuhusu ?
Yap nimeona imefanyika saudia ArabiaHata WWE Supershow Down ilipigwa Jeddah ila wanawake hawakupigana siku hiyo. Watu na vichupi kama kawaida, full ngumi tu. Saudia Arabia siku hizi hawakazi sana kama zamani.
Welcome to monday night Raw and Smackdown. Jiandae na extreme rules.
Jibu la mpuuzi hiliSiamini kama hii mada imetoka kwa mtu anaejielewa, swali la kipuuzi sana
Kakwambia nani Saudia wa perform Sharia law!Okay Jeddah, but still in Saudi Arabia, a country which performs sharia law. Na huko hii imani mnayofuata nyinyi ndio ilikotoka, sasa inakuwaje wamuhoji mbongo kuhusu kuimba?
Kuhusu ulinzi mkali, Nicky Minaj hata akiwa nyumbani kwao New York City ulinzi si wa kitoto.
Mkuu shetani ana nguvu.Show zake zilikuwa zilikuwa zinahudhuriwa sana na magasho
Balaa nyingi zimefanyika,alijiona kama alitenda sana dhambi kubwa
Inasemekana jamaa alishaenda mpk Yemen kuhani kwenye makaburi ya sjui mitume kutubu
Msitegeme jamaa kurudi tena kwenye mambo ya kidunia
Ova
Kweli kabisa