Kwanini mzee Yusuph kaacha mziki na Diamond anaendelea..wote si wana imani moja?

Kwanini mzee Yusuph kaacha mziki na Diamond anaendelea..wote si wana imani moja?

Kuna taarifa zinaendelea mitandaoni kwamba Nicky Minaj anakwenda kupiga show ya kufa mtu huko Saudi Arabia. Sasa kama huko Mecca kwenyewe wanamkubali Nicky Minaj basi naomba huu mjadala uishie hapahapa.
jamani nick na lile tako lake ananiumizaga roho
 
Si umuulize diamond kwann bado anaimba
 
Alishindwa himili vilio vya damu za fivestar team + vitoto vya dada ake

Yale MZEE aliyoyafanya kwa Wanamziki wenzake hususani Five 5 na wengine, ndo yalimfanya atubu!
 
Saudi ni nchi kubwa lakini Miji ya Mecca na Madinah ndio miji ya kiislamu kisheria. sasa kwenye hiyo miji miwili hakufanyiki mambo ya kipuuzi puuzi kama hayo. Huko kwengine wanaweza wakijafanyia tu.

Sasa ni tafauti kabisa ya Dar na Tanzania. Mana Mecca kuna taratibu zake mbali ambazo Miji mengine ya Saudi hazipo.
Nimekusoma
 
ila vinaenda pamoja au niko wrong
Dini ni njia imani ni kuamini, unaweza usiamini Mungu lakini ukamuamini mtu.

Kiislam vinaenda pamoja.

Wengine ni majanga. Biblia inasema nguruwe msimle ni najisi, mtu anafakamia, sasa huyo ana imani na maandiko yake?
 
Show zake zilikuwa zilikuwa zinahudhuriwa sana na magasho
Balaa nyingi zimefanyika,alijiona kama alitenda sana dhambi kubwa
Inasemekana jamaa alishaenda mpk Yemen kuhani kwenye makaburi ya sjui mitume kutubu
Msitegeme jamaa kurudi tena kwenye mambo ya kidunia

Ova
 
Huyo mzee Yusuph wakati anaanza kuimba hakujua kama dini hairuhusu ?
 
Hata WWE Supershow Down ilipigwa Jeddah ila wanawake hawakupigana siku hiyo. Watu na vichupi kama kawaida, full ngumi tu. Saudia Arabia siku hizi hawakazi sana kama zamani.
Welcome to monday night Raw and Smackdown. Jiandae na extreme rules.
Yap nimeona imefanyika saudia Arabia
 
Okay Jeddah, but still in Saudi Arabia, a country which performs sharia law. Na huko hii imani mnayofuata nyinyi ndio ilikotoka, sasa inakuwaje wamuhoji mbongo kuhusu kuimba?

Kuhusu ulinzi mkali, Nicky Minaj hata akiwa nyumbani kwao New York City ulinzi si wa kitoto.
Kakwambia nani Saudia wa perform Sharia law!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Show zake zilikuwa zilikuwa zinahudhuriwa sana na magasho
Balaa nyingi zimefanyika,alijiona kama alitenda sana dhambi kubwa
Inasemekana jamaa alishaenda mpk Yemen kuhani kwenye makaburi ya sjui mitume kutubu
Msitegeme jamaa kurudi tena kwenye mambo ya kidunia

Ova
Mkuu shetani ana nguvu.

Binadamu usimuwekee guarantee

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom