Kwanini mziki wa WCB ni matusi tu wanaimba

Dabil

JF-Expert Member
Joined
Sep 30, 2021
Posts
6,823
Reaction score
15,293
WCB wameharibu mziki wa Bongo ,hakuna contents za maana wanazoimba ni matusi tu, Kila wimbo wanaotoa ni matusi.

Kwanini hata BASATA wasiwaangalie kwa jicho pevu? Huwezi kuwasha TV unapokaa na familia maana unajua wimbo wowote wa WCB ukija ni matusi.

Lebo yote inaimba ngono tu
 
Jamii ya watanzania imeharibika kuanzia ndani ya familia Diamond ndio msanii anayeongoza kuimba nyimbo za matusi lakini ukimsema hapa jukwaani utaambiwa unamwonea wivu ukweli ni kwamba jamii ya kitanzania imeharika na sasa ni kansa ya matusi kupitia wasanii hakuna BASATA wala bwasata maadili ni sifuri
 
Dizasta amesema

HATERS HATERS, nimekuja kuwapa msongo wa mawazo mi ni pay-cut.../
Nilikotoka bingwa, ila jamii imeshiba sana UJINGA that the reason im not famous.../

HATERS HATERS, nimekuja na uthibitisho your favorite raper is lame ass
 
Jamii ya watanzania imeharibika kuanzia ndani ya familia Diamond ndio msanii anayeongoza kuimba nyimbo za matusi lakini ukimsema hapa jukwaani utaambiwa unamwonea wivu ukweli ni kwamba jamii ya kitanzania imeharika na sasa ni kansa ya matusi kupitia wasanii hakuna BASATA wala bwasata maadili ni sifuri
wimbo kuhusu siasa unafungiwa ,Ila nyimbo za matusi zinaachwa
 
WCB wameharibu mziki wa Bongo ,hakuna contents za maana wanazoimba ni matusi tu,Kila wimbo wanaotoa ni matusi.

Kwanini hata BASATA wasiwaangalie kwa jicho pevu? Huwezi kuwasha TV unapokaa na familia maana unajua wimbo wowote wa WCB ukija ni matusi.

Lebo yote inaimba ngono tu
Ukiona hivyo ujue huo mziki haukuhusu wewe btw kuna lebo na wasanii wengi na tv nyingi tu nchi hii hujalazimishwa kuwasikiliza hao Wcb. Acha shobo na kazi za watu.
 
wanasema soko ndio linataka hivyo eti, kumbe sio
 
Ukiona hivyo ujue huo mziki haukuhusu wewe btw kuna lebo na wasanii wengi na tv nyingi tu nchi hii hujalazimishwa kuwasikiliza hao Wcb. Acha shobo na kazi za watu.
huwezi kuacha au kuona au kusikiliza kitu kinachotrend ,hata mirinda nyeusi inatrend sasa hivi
 
Forget the rest I'm true rival, mnaimba matusi sana kwa maana bongo zenu ni too idle

Dizasta vina
Jamaa anaimba real na ngumu sana, tatizo wabongo hawataki ngumu wanataka kitu inachezeka kidogo🤣🤣🤣🤣
 
Mbona hata hizo hizo ngumu kuna watu wanazicheza, hao watu wanaolalamika hazichezeki wanataka kuzicheza kwa style gani?
sijakataa ila M BONGO hataki kitu ngumu anataka soft soft tu, hizo za kina dizasta za kutumia akili sana... mbongo mpe kwaito, singeli amapiano acheze afurahi baasi😅
 
Back
Top Bottom