Kwanini na ilikuaje ukapigwa kibuti na kuachwa na mpenzi wako

Kwanini na ilikuaje ukapigwa kibuti na kuachwa na mpenzi wako

Tlaatlaah

JF-Expert Member
Joined
May 18, 2023
Posts
24,665
Reaction score
25,388
Nini hasa ilikua sababu ya msingi hata ukaachwa na mpenzi wako na mlikua mnapendana sana?
Umejifunza nini kwenye mahusiano yako mapya dhidi ya ulikopigwa chini na kinaimarisha uaminifu na upendo zaidi kwenye mapenzi yenu?
kuna unacho kimiss?

pole kwa mahusiano ya kimapenzi kichefuchefu my friends, ladies and gentlemen.

next time itafurahisha sana kujua,
ni kwanini hasa uliamua kumuacha mpenzi wako?
nini ilikua sababu ya msingi? :pulpTRAVOLTA:

Mungu Ibariki Tanzania
 
Fungua id nyingine gentleman, watu hawataki uingie kwenye Majukwaa mengine nje na siasa. Hata kuchangia mada husika hawataki
 
Fungua id nyingine gentleman, watu hawataki uingie kwenye Majukwaa mengine nje na siasa. Hata kuchangia mada husika hawataki
hiyo sio kitu ya kubabaika nayo sana gentleman,
hizi ni free living articles unaweza kuchangia leo au ukasubiri kuchangia miaka kumi ijayo

fasihi andishi inaisha bana sio sawa na simulizi ya mdomo

halafu bando tarehe hizi hasa mwezi huu huwa ni changamoto mno kwa wadau:pedroP:
 
Hakuna tatizo. Maisha ni haya haya
maisha ya upweke yana stress na hatari nyingi mno kuliko hata ya ndani ya mahusiano ya mapenzi yenye changamoto na kichefuchefu :NoGodNo:
 
Money, Pesa, Mkwanja na Toyota Crown.

Hadi kesho siipendi iyo gari.

Mi sio wa kudanganywa Crown ni Uber.
 
Money, Pesa, Mkwanja na Toyota Crown.

Hadi kesho siipendi iyo gari.

Mi sio wa kudanganywa Crown ni Uber.
eti wnaume wenye viIST ni wagumu sana kutoa pesa, halafu eti vifupi kichizi, eti ni kweli? :NoGodNo:
 
Back
Top Bottom