Kwanini na ilikuaje ukapigwa kibuti na kuachwa na mpenzi wako

Kwanini na ilikuaje ukapigwa kibuti na kuachwa na mpenzi wako

Sijawahi achwa naacha...

Alisikika Binti wa kipare akisema kwa sauti kubwaa, watu wakacheka 😂
 
"Siwezi kuwa na mtu asiyeweza kunihudumia"..... hii ni kauli niliyopewa na yule manzi kabla ya kuachwa. Kimsingi wengi wetu tukiwa kwenye 20s hadi 30s tumeachwa na wanawake tuliowapenda kwa sababu ya kutokuwa na pesa.
 
Dah! Mwanangu..

Mimi sababu kubwa ni Tungi Tu mzee, Hataki ninywe Tungi ila yeye pia anakunywa..

Demu kasepa na mtoto, wananiaga wanaenda kanisani, Mi na Hang over zangu nikasema Poa.. Nakuja kuamka ,ndani hamna kitu..

Sahivi yupo na mwana buguruni pale..

Niliona Video yake moja Facebook yupo na Mwana kwenye sherehe Demu anakunywa serengeti lite Mwana anakunywa Mirinda Nyeusi, Mungu kambariki amepata chaguo lake..

Sijawahi kufuatilia chochote hata kuhusu mtoto sijauliza..
 
Back
Top Bottom