Mi nalala tu na nguo kwakweliso,
saivi umejifunza na hulali tena na nguo, right?
hiyo sio kitu ya kubabaika nayo sana gentleman,Fungua id nyingine gentleman, watu hawataki uingie kwenye Majukwaa mengine nje na siasa. Hata kuchangia mada husika hawataki
Hakuna tatizo. Maisha ni haya hayahutaki mapenzi kwa mkupuo?
sasa si utakua na expirience ya kuachwa sana my lady?
I appreciate you gentlemanhiyo sio kitu ya kubabaika nayo sana gentleman,
hizi ni free living articles unaweza kuchangia leo au ukasubiri kuchangia miaka kumi ijayo
fasihi andishi inaisha bana sio sawa na simulizi ya mdomo
Sijawahi kuwa mpwekemaisha ya upweke yana stress na hatari nyingi mno kuliko hata ya ndani ya mahusiano ya mapenzi yenye changamoto na kichefuchefu
Job nawajua watatu. 100% ni ukweli kuhusu "kimo"!eti wnaume wenye viIST ni wagumu sana kutoa pesa, halafu eti vifupi kichizi, eti ni kweli?
Duh!mahusiano na mapenzi ni siasa pia
πππhuenda una stress basi , right?
maana kujiuliza maswali na kujijibu pekeyako chumbani ni kazi mno ujue?