Venus Star
JF-Expert Member
- Dec 6, 2018
- 26,519
- 78,311
Nilitamani nimtukane mwandishi wa thread hii. Lakini kutokana na upungufu wa kufikiri kwake naishia kusema, mwandishi wa thread hii amezaliwa mwaka 2001.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa kuwapa taarifa Urusi kuondoa vikosi vyake huko Syria, marekeni walikuwa wanaepuka mgogoro na Urusi.Putin sio pandikizi la USA.
.Kwa huu utopolo aliofanya Putin, aidha inawezekana unachosema kikawa kweli au iwe amerukwa na akili au labda anashauriwa na vibaraka wa Marekani, yaani iwe waliomzunguka na anaowaskliza sana wawe ni vibaraka wa Marekani maana jamaa kashauriwa vibaya mno, Urusi inapokea mapigo ya kiwango cha lami kwenye kiuchumi, nimefuatilia athari zake ni balaa sana, hela yao imepoteza thamani na kudondokea pua.
Kwa wale maustadh wa Bongo ambao humshabikia kila siku, hebu waza leo hapo Tanzania kwenye benki CRDB umedunduliza kwa muda mrefu hadi kufikia milioni moja, halafu ghafla kwa maamuzi ya kijinga ya uongozi wa nchi, mpigwe vikwazo kiasi kwamba hiyo milioni yako kwa benki ishushwe thamani iwe kama laki moja hivi.
Hali inazidi kuwa ngumu sana huko, alichokisahau Putin ni kwamba kwa dunia ya leo, ubabe unaoeleweka kwa watu wako ni pale unapopambana na umaskini na uchumi kwanza, ubabe wa makombora na mavita vita yanapaswa kuja baadaye, ajifunze kwa Uchina.
Ndio nchi yako hiyo vijana wanatoa maoni yaliyochoka halafu wanataka uongozi na kudai wazee wawaachie

kweli[emoji122][emoji122][emoji122]Kwa huu utopolo aliofanya Putin, aidha inawezekana unachosema kikawa kweli au iwe amerukwa na akili au labda anashauriwa na vibaraka wa Marekani, yaani iwe waliomzunguka na anaowaskliza sana wawe ni vibaraka wa Marekani maana jamaa kashauriwa vibaya mno, Urusi inapokea mapigo ya kiwango cha lami kwenye kiuchumi, nimefuatilia athari zake ni balaa sana, hela yao imepoteza thamani na kudondokea pua.
Kwa wale maustadh wa Bongo ambao humshabikia kila siku, hebu waza leo hapo Tanzania kwenye benki CRDB umedunduliza kwa muda mrefu hadi kufikia milioni moja, halafu ghafla kwa maamuzi ya kijinga ya uongozi wa nchi, mpigwe vikwazo kiasi kwamba hiyo milioni yako kwa benki ishushwe thamani iwe kama laki moja hivi.
Hali inazidi kuwa ngumu sana huko, alichokisahau Putin ni kwamba kwa dunia ya leo, ubabe unaoeleweka kwa watu wako ni pale unapopambana na umaskini na uchumi kwanza, ubabe wa makombora na mavita vita yanapaswa kuja baadaye, ajifunze kwa Uchina.
Unajua Putin ni mtu wa Bush family .Anaweza kuwa anatumika na Trump kuharibu Democratic Party Trump ni mtu wa vengeance saaaana .Democratic party wanateteaga ukraine ,ukraine inawasaidia sana pesa money laundering democrats .1: Alichoamua kukifanya angeweza kushambulia tu maeneo ya kimkakati kuonyesha hakubaliani na Ukraine kujiunga na NATO bila kuingiza jeshi lote. Amefanya makusudi, Russia ipigwe vikwazo uchumi udolole nchi ikoswe kutawalika Russia ivunjike vipande na US awe Superpower Wa Muda wote ili kutimiza ajenda vificho za waovu Wa dunia hii.
2: Zamani nilijua hawa jamaa ni maadui hadi vita vya Syria. Wakati marekani inataka kushambulia eneo ambalo nilikuwa na makomando na majeshi Wa kirusi Syria, kwa mujibu Wa mitandao ya kijajusi Urusi walitaarifiwa kwa channel maalumu, kisha wakahamisha majeshi ili marekani ipige inapotaka. Hawa maadui gani ambao wanajeshi wake wanapeana habari za kutoathiriana?
Hivyo kwa akili na uchambuzi wangu Wa darasa la Saba la mkoloni , tujikite kwenye matoleo ya hii vita. Kuna kitu kikubwa kinatengenezwa ambacho kitabadili gia ya safari ya sayari dunia.
Yangu ni hayo.
Ila nawapongeza maana vita hivi vimekuwa sababu ya dunia kupewa likizo isiyo na matibabu ya korona