Kwanini naamini Putin ni Pandikizi la Marekani nchini Urusi

Nilitamani nimtukane mwandishi wa thread hii. Lakini kutokana na upungufu wa kufikiri kwake naishia kusema, mwandishi wa thread hii amezaliwa mwaka 2001.
 
Kwa huu utopolo aliofanya Putin, aidha inawezekana unachosema kikawa kweli au iwe amerukwa na akili au labda anashauriwa na vibaraka wa Marekani, yaani iwe waliomzunguka na anaowaskliza sana wawe ni vibaraka wa Marekani maana jamaa kashauriwa vibaya mno, Urusi inapokea mapigo ya kiwango cha lami kwenye kiuchumi, nimefuatilia athari zake ni balaa sana, hela yao imepoteza thamani na kudondokea pua.

Kwa wale maustadh wa Bongo ambao humshabikia kila siku, hebu waza leo hapo Tanzania kwenye benki CRDB umedunduliza kwa muda mrefu hadi kufikia milioni moja, halafu ghafla kwa maamuzi ya kijinga ya uongozi wa nchi, mpigwe vikwazo kiasi kwamba hiyo milioni yako kwa benki ishushwe thamani iwe kama laki moja hivi.

Hali inazidi kuwa ngumu sana huko, alichokisahau Putin ni kwamba kwa dunia ya leo, ubabe unaoeleweka kwa watu wako ni pale unapopambana na umaskini na uchumi kwanza, ubabe wa makombora na mavita vita yanapaswa kuja baadaye, ajifunze kwa Uchina.
 
.
Wenzako ulaya wanatafuta namna ya kumuondolea vikwanzo kwenye gesi, mafuta, dhababu na metali wewe huku wa Itigi unashupaza shingo .....
 
Ndio nchi yako hiyo vijana wanatoa maoni yaliyochoka halafu wanataka uongozi na kudai wazee wawaachie

Naona Mawazo ya kimagharibi yamekubyonya uwezo Wa kufikiri nje ya kasha
 
kweli[emoji122][emoji122][emoji122]
 
Marekani amefanikiwa kuisambaratisha Urusi kupitia kibaraka wake Putin kama tu walivyofanikiwa kwa USSR.
 
Mtoa maada katoka kuangalia movie flan nimesahau jina lake
 
Unajua Putin ni mtu wa Bush family .Anaweza kuwa anatumika na Trump kuharibu Democratic Party Trump ni mtu wa vengeance saaaana .Democratic party wanateteaga ukraine ,ukraine inawasaidia sana pesa money laundering democrats .
 
Both America na Russia wanachofanya ni kumuandalia mazingira China kuingia kwenye Super Power.
 
"Volodya" Ungejipa time kuijua Russia na alipotoka Putin mpaka hapo alipo nadhan unangeweza kuja na mtazamo tofauti na huu...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…