Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sometimes we have to do things because we have to, not cause we want to...,
studying sio hadithi ni very rare utapenda, ila ni obligation.... Fikiria kuhusu furaha utakayopata ukishinda tests (use that as a carrot) na fikiria ukichemsha utakavyokuwa umepoteza your energy, money and letting yourself and your relatives down (use that as a stick)
I remember in my days nilivyokuwa High School tulikuwa na msemo...,
"Ni Bora Punda Afe.., ila Mzigo Ufike"
wow,thanks sana mkuu!
Lakini ukilazimisha kukaa hata kama hau gain si ni sawa na kupoteza mda?
i take that,but if you tell me how to overcome ma situation utakuwa umenisaidia zaidi
True very true....? jaribu kubadilisha sehemu unaposomea labda kuna distractions... au break studying sessions into small units yaani ujipe zawadi maybe after studying every one hour jipongenze kwa kuingia JF na Kuchat au fanya anything you like, for half an hour.Wow,thanks sana mkuu!
Lakini ukilazimisha kukaa hata kama hau gain si ni sawa na kupoteza mda?
but at least u can get something even if its small,something is beta than nothing. Komaa tu mkuu.
True very true....? jaribu kubadilisha sehemu unaposomea labda kuna distractions... au break studying sessions into small units yaani ujipe zawadi maybe after studying every one hour jipongenze kwa kuingia JF na Kuchat au fanya anything you like, for half an hour.
Hii itakusaidia usiwe bored na uwe unalook forward kufanya kitu unachopenda... just at the back of your mind think about how that certificate will look like when you graduate.
Cardinal Rule dont force thinks akili ikichoka kidogo badilisha activity kidogo, alafu rudi uendeleze...... Hakuna Kulala Mpaka Kieleweke..... No Retreat No Surrender....
duh,you want to make me nisilale na am not gaining,hakuna mtu anapenda kusoma kama mimi ila kwa hali hii sijui ni nini,....
Sina homa wala malaria maybe ingekuwa ina sababisha but mmmh!
umenikumbusha advance,thanks sana i can see hapa getting your challenges napata hamu ya kusoma hivi
My friend remember always hard work pays,and those are the hardships of being in school/college,so you need to overcome them no matter what the situation is and remember, if you think education is hard just try ignorance.
Sio uungwana Lizzy!!!:twitch:Kwasababu ni mvivu!!!!
Sure,i should keep going on no matter what,bora ningeomba ushauri hapa mapema kumbe thanks again
i need more mawazo ya namna ya kufanya ukichoka lakini uendelee kufanya kazi
I take that,but if you tell me how to overcome ma situation utakuwa umenisaidia zaidi
Acha uvivu!!!!
Nwyz give yoursekf a break....pumzika kidogo alafu ukijaribu tena baadae kikikataa jilazimishe!!!Au unaanza na zile topic unazopenda zaidi,.....surely zitakupa mzuka wa kuendelea na nyingine!!!