Africa Tanzania
JF-Expert Member
- Jun 13, 2015
- 1,504
- 2,272
Tupo wote mkuu!Moro Town
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tupo wote mkuu!Moro Town
Yani uwaga nahisi watu wote wa jf wanaishi DSM kumbe na wa mikoani mupo dah
Mie kilakala tuNipo kihonda mkuu upo wap mkuu
Asante Mkuu, kama benki zipo , basi kuna biashara nyingine ambazo zinafanyika kwa kutegemea benki.Benk zipo za CRDB NA NMB
Maduka yapo ya kila aina, na bidhaa zote zinapatikana. Ukitaka kulima ardhi ipo yakutosha.Usafiri wa uhakika wa kwenda nje na ndani ya Morogoro unapatikana
Itobo ya Nzega?Itobooooo madongo kuinama huku[emoji1] [emoji1] [emoji1]
jamaa wamikoani bwana maneno yao yote ya kashfa kwa wanaume wa dar lakini wapo hapa woteee wanatumia mtandao wa mwanaume wa dar hahahahyaan wanaume wa dar wambea kam dada zao