Kwanini nahisi watu wote wa JamiiForums wapo Dar?

Benk zipo za CRDB NA NMB
Maduka yapo ya kila aina, na bidhaa zote zinapatikana. Ukitaka kulima ardhi ipo yakutosha.Usafiri wa uhakika wa kwenda nje na ndani ya Morogoro unapatikana
Asante Mkuu, kama benki zipo , basi kuna biashara nyingine ambazo zinafanyika kwa kutegemea benki.
 
Karibu Ushetu.

Ushetu nyumbani,Ushetu ni Kwetu.


Ushetu Home of beautiful People.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…