Kwanini napenda sana kufanya mapenzi?

Kwanini napenda sana kufanya mapenzi?

Hebu jiulize zaidi ya hiyo ngono kinaishaisha umefanikisha nini?
Uliwezaje kusoma na kufanya ngono kila siku? Hao mademu uliwapataje?
Bure au unawalipa nini?
Kama una kazi unaifanyaje wakati umekesha?
Kazi yako ni ipi?
Una nyumba.gari.biashara.akiba kiasi gani?
Au unaishi kwa msosi wa shikamoo?
Ukikosa mwanamke wakukupa hutabaka wewe ?
Unaishi wapi kunakoweza kukupa wanawake kila siku wa kukesha nao?
Unadhanindugu na majirani wanaoona wanawake wakiingia na kutoka kila siku wanakuweka fungu gani?
Unatumia condom? Ngapi kwa usiku 1 ?
Nina maswali mengi ila kwa sasa jibu hayo.
Hujui kuuliza,;haya nenda kajipange upya uje uulize
 
safi sana! umempatia

back to da mada ...
jini hilo ndo linakusukuma ufanye ngono sana ili mwisho wa siku ukumbanne na maradhi ufe utuachie maraha yetu.
Kwani mkuu kila anaekufa ni mpenda ngono?
 
Hapa nipo serious na wala sitaki utani wala matusi na majibu ya hovyo.mi mwenzenu sijui nina tatizo gani,yaaani napenda sana kufanya mapenzi,kwa wiki nafanya hata mara 5/4.na nikilala na mwanamke huwa kesho yake lazima alalamike eti napanda kila mara.waungwana ambao ni wataalamu niambieni hii kitu kupenda kusex inatokana na nini?
Mkuu unashiba vizuri,,,halafu huku mjini hulimi kumaliza nguvu zote,,lazime uwaashie cheche warembo mizinga
 
Hapa nipo serious na wala sitaki utani wala matusi na majibu ya hovyo.mi mwenzenu sijui nina tatizo gani,yaaani napenda sana kufanya mapenzi,kwa wiki nafanya hata mara 5/4.na nikilala na mwanamke huwa kesho yake lazima alalamike eti napanda kila mara.waungwana ambao ni wataalamu niambieni hii kitu kupenda kusex inatokana na nini?
Safi sana nyegele,,,hahaaaa
 
Hongera kaka tupo pamoja...ni mwenda wa kuwapelekea moto mademu hadi wakome.
 
Hapa nipo serious na wala sitaki utani wala matusi na majibu ya hovyo.mi mwenzenu sijui nina tatizo gani,yaaani napenda sana kufanya mapenzi,kwa wiki nafanya hata mara 5/4.na nikilala na mwanamke huwa kesho yake lazima alalamike eti napanda kila mara.waungwana ambao ni wataalamu niambieni hii kitu kupenda kusex inatokana na nini?
Binadamu bwana.... Ukiwa na nguvu tabu, ukiwa huna unakimbilia kwa wamasai... Mbna hamliziki?
 
Back
Top Bottom