Kwanini napenda sana kulala?

Wakuu naona nitakuwa na tatizo maana napenda sana kulala iwe mchana au usiku mwili full uchovu sipendi kufanya kazi. Msaada please.
Utakuwa na ugonjwa wa kisukari.. Hali hiyo hukutokea mara baada ya kula chakula cha mchana na usiku chenye wanga.. Pia huenda unasikia kiu na kukojoa mara kwa mara.. Si ndio?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…