Mikopo Chefuchefu
JF-Expert Member
- May 15, 2017
- 3,373
- 6,795
Utakuwa na ugonjwa wa kisukari.. Hali hiyo hukutokea mara baada ya kula chakula cha mchana na usiku chenye wanga.. Pia huenda unasikia kiu na kukojoa mara kwa mara.. Si ndio?Wakuu naona nitakuwa na tatizo maana napenda sana kulala iwe mchana au usiku mwili full uchovu sipendi kufanya kazi. Msaada please.