Mzee wa old school
JF-Expert Member
- May 16, 2021
- 873
- 1,405
Habarini wana jamvi, nisiwachoshe.... Naenda moja KWa moja kwenye mada..
Yaani tokea nianze kujitambua miaka mingi iliyo pita. Nimekua napenda sana vitu vya zamani.. mfano KWa mambo ya mawasiliano, napenda sana simu za zamani mfano kama vinokia siemens n.k, sipendi hizi za technologia ya kisasa almaalufu simu janja.. pia hata style ya maisha napenda ya zamani.. nadhani KWa ufupi nimeeleweka.
SAsa wataalamu wa mambo hii kitu imekaaje psychologically?
Nayeyuka huku nikiweweseka kiwendawazimu