Kwanini, nauliza kwanini wahindi hawapewi nafasi kugombea Urais?

Joined
Jun 5, 2025
Posts
45
Reaction score
96
Bana sikiliza.
Nchi hii haina ubaguzi wa rangi, dini au ukabila!
Ssa wana JF hebu kumpa mimi rejesho , kwa nini sisi wahindi hapana kumpa nafasi gombea urais nchi hii?

Ze Ponjoro
 
Siasa za uchaguzi kwa kiasi kikubwa zinategemea hesabu za idadi ya watu. Jamii ya Wahindi Tanzania ni ndogo sana kiidadi ikilinganishwa na Waafrika wazawa.

Kupata ufuasi mkubwa wa kitaifa inakuwa vigumu kama huna mtandao mkubwa wa kijamii unaoanzia ngazi ya chini kabisa.
 
Mimi zaliwa Tanzania, penda Tanzania, sijui India.
 
Bhebhe chukua fomu gombea kuwa rais Tanzania fanya Dodoma Bombay.
 
Bana sikiliza.
Nchi hii haina ubaguzi wa rangi, dini au ukabila!
Ssa wana JF hebu kumpa mimi rejesho , kwa nini sisi wahindi hapana kumpa nafasi gombea urais nchi hii?

Ze Ponjoro
Ukiona hata muhindi anataka kuwa Rais Tanzania, basi kaona fursa.
Sijui Rostam yuko wapi?
 
Bana sikiliza.
Nchi hii haina ubaguzi wa rangi, dini au ukabila!
Ssa wana JF hebu kumpa mimi rejesho , kwa nini sisi wahindi hapana kumpa nafasi gombea urais nchi hii?

Ze Ponjoro
Mhindi HAWEZI kugombea Urais Tanzania. Ila Mtanzania mwenye asili ya India ANAWEZA kugombea kama ana sifa zote zilizoainishwa kwenye Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…