Kwanini naunga mkono Urusi kuchukua hatua za kijeshi Ukraine?

Sasa Kama kwa kusambaza 40% ya gesi kiburi na uvamizi niwa namna hii ikiwa 90%. Kiburi kingekuwaje?. Ilikuwa sawa kumzuia sababu uwezi kumtegemea mtu mshenzi Kama Putin. Ukreini walifanya kosa kukubali kuangamiza siraha zake za nyukilia Putin Leo hata wazo la kuvamia ukreini asingekuwa nalo hata ndotoni
 

Endeleeni kulialia, jamaa anaenda kuichukuwa ukrein 😁 na wala ha2mii nguvu
 
Atatulizwa tu wewe subiri
 
Nilipofika hapo kwa " Dunia ina ihitaji zaidi Russia kuliko Russia inavyoihitaji Dunia" imebidi tu niseme kwakuwa kila mtu ana uhuru wa kutoa maoni yake hapa naheshimu mawazo yako binafsi Mkuu.
Ni mawazo ya hovyo kabisa
 
Ni mawazo ya kipuuzi, yanayopaswa kupuuzwa
Nilipofika hapo kwa " Dunia ina ihitaji zaidi Russia kuliko Russia inavyoihitaji Dunia" imebidi tu niseme kwakuwa kila mtu ana uhuru wa kutoa maoni yake hapa naheshimu mawazo yako binafsi Mkuu.
 
Hizi ni propaganda za russia tu tupa kulee, vikwazo viendelee
 
Unapokuwa kwenye mjadala as a mature person jitahidi kuepuka personal attacks na kuwahusisha watu wasiohusika kwenye huo mjadala. Kuanza kuhusisha mzazi wa mtu kwenye jambo ambalo halijui wala hahusiki nalo ni ukosefu wa uweledi
Wenzako waendelee kuuliwa baba ako abaki salama?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…