Kwanini naunga mkono Urusi kuchukua hatua za kijeshi Ukraine?

Kuunga mkono Urusi kuchukua hatua za kijeshi Ukraine ina maana pia kuunga mkono mauaji, uharibifu wa miundombinu, majeraha ya muda na ya kudumu ya raia, raia kukimbia nchi yao katika mazingira hatarishi na wale walio ugenini kushidwa kurudi nyumbani. Kuwa na fikira za namna hii ni hatari sana maana inaonyesha huna ubinadamu wowote na pia unaonyesha moyo na hulka ya kidikiteta for the sake of political power.
 

Kiingereza kingi, kweli debe tupu.... malizia mwenyewe.
 
Yani mm nataka Ukraine utchezee kichapo zaidi ya Libya au Syria na vile Zelensky ni target naomba akamatwe kabsa huyo kichaa anakesi za kujibu kuingiza raia wa nje wasiokuwa na mafuzo vitani na.nakubaliana na Urusi kuwa raia wanaojiunga vitani wakikamatwa kama mateka ni moja.kwa moja wanakuwa arraigned(kishitakiwa)
 
Thanks
 
Rubbish, huwa nakuunga mkono mambo mengi lakini sikuungi kwa ujinga huu wa kuua watu wasio na hatia, kama mrusi ana nguvu kwanini asiende kuvamia Marekani?
wew unasem rubish sawa.je uamjua namma kiev imeua watu donesk na luhans?? au kwa vile documenntary hizo huzion sababu brain washed.
 
huwa nashamgaa sana wanaoshabikia ukrain bila kuangalia facts.
 
Kwenda shetani wewe century ya 20s unaweza vita .Dollar moja ni 0001 ruble . Watu wamekufa .Ukraine ni nchi independent .Idi amini alivyo taka bukoba Nyerere akamuondoa kwa vita so puleeese
 
Kwani Nyerere alipovamia Uganda hakuna watu wasio na hatia??
No Iddi amini alikuwa ni shetani kabisa worse than Hitler Ate his own people .Zellensky is 44 years old that is the new world .Hayo ya Putin tuwaachie watu watu 1938
 
Nyerere akiua na wewe unaua?
It was Russia and was Putin who went to Uganda and Nyerere gave him green light .Tanzania walijiunga na Uk WW111.Na mkiendelea kumshabikia Putin uchumi utaanguka TZ
 
It was Russia and was Putin who went to Uganda and Nyerere gave him green light .Tanzania walijiunga na Uk WW111.Na mkiendelea kumshabikia Putin uchumi utaanguka TZ
Tutashughulikiwa hatutaamini na hivi sisi ni ombaomba
 
Kuna wakati nilitaka kununua kitabu chako cha Ujasusi wa Kidola, ila nilivyosoma hoja zako hapa nimepata wasiwasi mkubwa na uelewa wako wa mambo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…