Kwanini naunga mkono Urusi kuchukua hatua za kijeshi Ukraine?

Kwenda shetani wewe century ya 20s unaweza vita .Dollar moja ni 0001 ruble . Watu wamekufa .Ukraine ni nchi independent .Idi amini alivyo taka bukoba Nyerere akamuondoa kwa vita so puleeese
Wakati iraq anavamiwa kwa kisingizio cha wmd ilikuwa karne ya 8 ?
 
NAULIZA TU

Bado Mji Mkuu wa Kiev haujatekwa? Au ni mbwembwe za Wakomunisti?
 
Unahubiri demokrasia halafu unashabikia udikteta wa Putin.
Democracy gani ambayo huruhusiwi kufanya maamuzi yoyote kwenye rasilimali zako na kupewa masharti magumu kimikataba ili uzidi kunyonywa tu kiuchumi tangu 1961 TZ ipate uhuru?
 
Tangu na tangu haijawahitokea na haitatokea Rais yeyote kukubaliwa na Raia wake wote 100%.
 
Hayo mawatu hayatofautiani na yale yaliyoaminishwa ujinga kuwa bila ya kununua na kupakaa mafuta ya upako ya yule Nabii wa uwongo basi hayawezi kuponywa na changamoto za kidunia.

Sasa je dunia nzima iache kumwomba Mungu ikanunue hayo mafuta na kujipakaa miilini ndiyo utakuwa ukomo wa changamoto za kimaisha au ifanye kipi hasa [emoji848][emoji3526]
 
Hii hapa chini nayo ni sababu kuunga mkono hatua ya Urusi?
====

US-funded labs in Ukraine dealt with bat coronavirus, Moscow claims​

Russia’s Ministry of Defense cited documents it claims it captured at the facilities, while the US denies developing bioweapons

© Getty Images / narvikk
US-funded laboratories in Ukraine captured by Russian forces last week were conducting experiments with bat coronavirus and other dangerous pathogens, Moscow claimed on Thursday, citing documents seized at the facilities. There were allegedly plans to move on to African swine fever virus and to anthrax.

Igor Konashenkov, spokesperson for Russia’s Ministry of Defense, said that “experiments with samples of bat coronavirus were being carried out in the bio-laboratories, created and funded [by the US] in Ukraine, as documents show.” The Russian official went on to claim that in 2022 the US was intending to “work on bird, bat and reptile pathogens,” with plans to move on to research into whether those animals can “transmit African swine fever virus and anthrax.

According to Konashenkov, the scientists were looking into, among other things, the possibility of pathogen transmission by wild birds migrating between Russia, Ukraine and other neighboring countries.

On Sunday, Russia announced that it had captured several laboratories in Ukraine. If Moscow officials are to be believed, staff at some of the facilities told Russian troops that particularly dangerous pathogens, including plague and anthrax, had been destroyed following the start of Moscow’s military offensive against Ukraine on February 24.

Konashenkov surmised that the Pentagon feared that its “secret biological experiments” would be uncovered, ordering Ukrainian authorities to dispose of evidence pointing to such research.

Responding to the allegations voiced by Russia on Wednesday, Ned Price, spokesperson for the US Department of State, accused Moscow of “intentionally spreading outright lies.” According to Price, similar claims made previously by Russia “have been debunked conclusively and repeatedly over many years.” The US official proceeded to suggest that the latest pathogen allegations were nothing more than a pretext invented by the Kremlin “in an attempt to justify its own horrific actions in Ukraine.

Washington insisted that the “United States does not own or operate any chemical or biological laboratories in Ukraine, it is in full compliance with its obligations under the Chemical Weapons Convention and Biological Weapons Convention.” The US Department of State pointed the finger at Moscow instead, accusing it of having “active chemical and biological weapons programs.

Ukraine, too, has denied the presence of any facilities developing biological weapons on its territory.

The American embassy in Kiev confirmed that the US Department of Defense “collaborates with partner countries,” but only to “counter the threat of outbreaks.

China, however, has made it clear that it is not entirely convinced by America’s explanations, and urged Washington to disclose relevant data “as soon as possible.

Speaking to journalists on Tuesday, its Foreign Ministry spokesman Zhao Lijian said that Beijing had information indicating that the said laboratories in Ukraine were just the “tip of an iceberg.” Zhao went on to claim that the Pentagon “controls 336 biological laboratories in 30 countries around the world,” with the secret program operating under the guise of efforts to “reduce biosecurity risks” and to strengthen “global public health.

source:rt.com
 
Hatimaye nimekutana na makala yenye uchambuz wa msingi kuhusu hii vita. Nilikuwa naunga urusi bila kuwa na nguvu ya hoja kama hii. Asante yerico sasa na kitab chako nanunua! Una akili
 
Haungwi mkono na watu wangap au nchi ngap! Ukileta hoja za kitakwimu unajipa mzigo wa ku prove! Hebu soma makala tena. Umejawa hisia. Usisahau......THE MAJORITY ARE ALWAYS NOT RIGHT!
 
Kuna shida moja ya Yericko fundi umeme kujifanya mtaalamu wa ujasusi ,ni kudanganya watu tu hivi ni Rais gani mwendawazimu akubari majimbo ndani ya Nchi yake yawe yanajitenga akikubari hilo Nchi si inaweza ikaisha yote maana kila baada ya muda majimbo yataendelea kudai kujitenga mwisho Nchi inaisha hiv anapo zungumza et anauwa watu je Yericko hajiulizi kuwa huenda anae pandikiza fikra za majimbo kijitenga anaweza kuwa ni Putin na anafadhiri hilo ! Yericko tujibu ni kwanini Ethiopia jimbo la Tgry lilivyo taka kujitenga Ethiopia ilipeka jeshi vita ikaanza je mbona hukuongea je watu hawakufa ? na wasi wasi na kichwa yako na ndio maana umekomaa kuabudu mizimu kichwa hakiko sawa
 
Warus wameka kwa wing majimbo yaliyoko ukraine yaan kama wananzanzibar walivyojazana bugurun au kigambon alafu waanzishe uasi nakuomba msaada zanzibar jesh la zanzibar livamie bara nonsense
 
yaani sikutegemea kama Yeriko angeandika kitu kama hiki
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…