Kwanini naunga mkono Urusi kuchukua hatua za kijeshi Ukraine?

Mmarekani mwenyewe anahubiri amani wakati amebba bunduki
 
Again you are making another mistake; nimesema mwanzoni, sina tatizo na mtu kuunga mkono upande upi, either Ukraine or Russia, tatizo langu linabakia mnavyo jenga HOJA ya kupingana na UZI wake Yeriko. Kwamba kitendo cha mataifa kuunga mkono nani na wewe umekifanya kua subject of the topic? USA kaua Waarabu mara ngapi? Juzi tu Libya hapo, ulisikia hata Africa ikimpigia kelele? Umoja wa mataifa ulisemaje kuhusu yale mauaji ya Libya, Syria, Iraq etc???
 
Kumbe una akili finyu kiasi hiki? halafu ndio vijana wanaotegemewa na cdm hawa? rubbish
 
Mtoa mada upo sahihi kwa 100% ila humu mazuzu hawatakuelewa kwanza hata kazi za CIA hawazijui na ndio wanavuruga amani duniani wao mazuzu wanachojua russia kaivamia ukraine basi
 
Hii tabia ya ku-blackmail watu kisa wameongea wanachokiamini ni utoto.

Heshima yako kwake ndiyo imfanye mtu awe mtumwa wa hisia zako?

"Ooh nilikuwa nakuheshimu ooh"

Alikuandikia barua kukuomba umheshimu?

Yaani inabidi mtu aandike kinachokufurahisha kila siku ndiyo uendelee kumheshimu.

Acheni utoto.
 
Nilipofika hapo kwa " Dunia ina ihitaji zaidi Russia kuliko Russia inavyoihitaji Dunia" imebidi tu niseme kwakuwa kila mtu ana uhuru wa kutoa maoni yake hapa naheshimu mawazo yako binafsi Mkuu.
 
Nakuunga mkono
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…