Mcharuko
JF-Expert Member
- Sep 25, 2011
- 209
- 172
- Thread starter
-
- #101
Baba Juice, nilitaka kutukana lakini nimekumbuka ni miongoni mwa"Najitahidi kuileta akili yangu katika hali ya kawaida ili niwapende wanaume lakini nashindwa kwangu mwanaume ni mteja na mtu katili asiye na huruma. Nawachukia nawachukiakutoka moyoni. Rafiki wa karibu wa baba yangu ambao nimetembea nao mpaka sasa ni 5. Hivi kweli kuna haja ya kuwa na imani na wanaume?"
unalalamika lakini inaonekana unaipenda kazi yako!wanasema kila MALAYA huwa anastory ya kutokea!
mambo ambayo nimeanza kuachana nayo. Hebu fikiria mwenyewe
kama una ubinadamu miongoni mwa mambo ambayo tulikuwa tunakumbana
nayo ni kuwa unakutana na mwanaume ambaye mwisho wa siku
hataki kukulipa na ukiendelea kumdai anatishia kukuletea Polisi, Kupigwa
kutukanawa ni vitu ambavyo tunakumbana navyo, Napenda nikuambie
tu kuwa Mungu ndo anajua ukweli wa yote, Lakini ni ukweli kwamba wako
wanaofanya kwa kupenda. Yuko dada mmoja tulikuwa naye lakini yeye
hakuna alichokuwa anakosa kutoka kwa wazazi wake!