Kwanini nawachukia wanaume?


mkuu umefanya noma sana, haya matatizo yapo tu na imagine mioyo laini ya hivi viumbe. Hupaswi kumlaumu wala kumponda bali kumpa ushauri wenye kumjenga.

Hata mm naamin wapo wanaofanya hiyo biasha kwa kuwa tu wanataka kuishi maisha ya juu na starehe ambazo hawana uwezo nazo.

Ila kwa hapa tuchukulie tu maelezo kama aliyotoa muhusika so usimponde mtie moyo, muonyeshe kwamba bado jamii inamjali na mpe ushauri utakaomfanya ajiamini.

@Kwako Mcharuko.
Kwanza pole kwa yote yaliyokusibu. Baada ya kusema hayo nakusisitizia mshike sana mungu na umfanye kuwa kiongoz wako.
Muombe sana mungu akupe unalohitaji. Ondoa chuki uliyonayo kwa wanaume.
Hesabu kwamba yaliyopita si ndwele sasa pambana na yajayo. Muombe Mungu akufungulie njia.

Nakutakia kila la kheri na nitakukumbuka kwenye maombi yangu kila siku. Inshallah Mungu atakufungulia njia.
 

Kila nikiona hii post yako huwa nazidi kukupenda... MSIIFUTE JAMANI huyu mcharuko now najua atakuwa ametulia tuu maana adha na raha zote kazionja.... niachieni atatupenda tu...*
 
Kama watafiti wa masuala ya mahusiano husema Most girls attracted by Play Boys so viseversa inamaanisha huyu mcharuko all most ANAPENDWA SANA na wanaume wengi
 
wanaume tunapaswa kushawaishiana 'kuchukia'
tabia za ku take advantage unapomuona msichana ana shida na kaja kwako umsaidie...

Na hata kama hana shida pia, wanaume mna tabia ya kumfuatilia mdada hata miaka mradi umlale tu ilhali ukijua moyoni mwako huna hata mpango nae. Mnaumiza sana mioyo ya wadada mbadilike kuanzia hapo sio mpaka mtu awe na shida
 
Usiwachukie maana hata hao wanaokulipa pesa ili urekebishe mahitaji yao, bado ni wanaume. Think differently! Wanaume wapo waovu na wema pia. Inategemea umeangukia upande gani.
 

Huna utu kabisa wewe, It is men like you who always use their lower head (Abdala kichwa wazi) when thinking
 
Hyo ndiyo hasara ya kujiraìsha na hayo ndiyo mavuno yake. Wangapi wamefiwa na wazazi wao na wamepita magumu mengi na hawakuwah kujiuza? Mbona kuna mashirika kibao ya kusaidia na kusomesha yatima? Kiukweli sijapenda ulipotumia kigezo cha kufiwa kuhalalisha uchfu wako.
 
Pole sana dada, sikuhukumu ila nakuelewesha ni wapi ulipoangukia...ulikosea toka mwanzo kwa kukosa msimamo, kwani ni shida gani hizo zilizokufanya ukose aibu hadi ufikie kutembea na watu wenye umri kama baba yako? Wanaume ni wazuri sana hasa ukiwapatia, wrong choices ndio kinachotumaliza wanawake...
 
NAOMBA KUTOFAUTIANA NA WACHANGIAJI WENGI. uBAYA WAO NI; KUMSAIDIA KWA MUDA MFUPI, MEANING KWAMBA WANGEDUMU KUMSAIDIA?, AU UBAYA WAO NI KUMTAKA KIMAPENZI? AFU PIA KWANINI ALICHAGUA NJIA HIYO? NAJUA MCHARUKO UNUMIA LAKINI NAPENDA WANAO KUSHAURI NA WEWE MWENYEWE MUWE NA UJASIRI WA KUUONA UKWELI KUWA LAWAMA ZA MWANZO ZINAKWENDA KWAKO KABLA YA HAO. KEEP EMOTIONS ASIDE UTAUONA UKWELI HUO VIZURI. UMEFANYA VIZURI KUOMBA USHAURI NAO NI KWAMBA JITHAMINI HATA KAMA UNAMATATIZO UKIFANYA HIVO UTATAMINIWA ILA UKIJIDHARAU UTADHARAULIWA. WANAUME SIO WABAYA ILA NAO KAMA VINADAMU WANAUDHAIFU WAO. PIA USITEGEMEE SANA WEMA WA MTU MAAANA NAYE ANA MAPUNGUFU.
 
afu badili hiyo id maneno yanaumba. Ndo tunaanza ushauri hivo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…