Kwanini nawapa 100% Yanga SC kufuzu Robo Fainali CAFCC na Simba SC 200% kutofuzu Robo Fainali CAFCL?

Ila babuu jaman khaaaah [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Mchang’ombe enhee imekuaje sasa muda mwengine mnyamaze muepushe aibu ndogondogo kwa familia zenu
 
Muwe mnaweka akiba ya maneno. Japo najua hiyo hekima wamebarikiwa wachache.

Siyo KILA Jambo litaenda jinsi unawaza na KUFIKIRI.
 
Empty Sets Wakubwa wote nyie mnaonishangaa na Kunishambulia kwa kuja na huu Uzi.

Kwa taarifa yenu huu Uzi wangu ndiyo umekuwa Chachu ya Klabu ya Simba SC kufanya vyema Jana na Kutinga Robo Fainali Klabu Bingwa Afrika baada ya Kujitathmini.

Najiona Mshindi japo Midunduna ( Msio na Akili ) mliojazana hapa JamiiForums na hasa katika huu Uzi wangu mtanishambulia na Kunicheka.

Endeleeni Kubwabwaja nimemaliza.
 
NASISITIZA HUYU BABU NI CHIZI KAMA WACHAMBUZI WENGINE WA MCHONGO ETI SASAHIVI WAMEHAMIA MSIMBAZI HATUWATAKII. Anatuletea mitazamo yake ya ajabuajabu anasahau huu ni mpira..
 
Simba anatinga robo hata nusu anaweza kufika. Mashindano haya yana ngekewa kwa baadhi ya timu. Pamoja na ubovu wa kocha wetu ktk upangaji wa kikosi timu itasonga mbele.
Timu zilizobakia zihesabu kichapo kwa mkapa haitoki hata moja.
Finally tumetinga robo thanks God [emoji4]

Sent from my vivo 1906 using JamiiForums mobile app
 
We jamaa unaandikaga ujinga katika akaunti zako zote.

Na bado utafungua akaunti sana kwa majina ya dawa zote! Trepoma pallidum mkubwa!
 
Khaaaaaah wee baba uwe na aibuuuu khaaaaaa, hujistukiiiii???
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…