Bujibuji Simba Nyamaume
JF-Expert Member
- Feb 4, 2009
- 76,107
- 160,001
Matusi ni hulka ya mtu binafsi. Kimtokacho mtu ndicho kilocho ujaa moyo wake.Lengo lako ni lipi kaka Bujibuji au uwadharirishe wakrsto na Mungu wetu YESU na tukijibu hoja zako somebody's wanaanza kutukana kupandwa munkari na kutetema!
Aisee nahisi wenzetu kuna shida mahali, iweje kila siku ma Yesu waibuke kwao tu?Kenya kama Tz Kuna wajinga wengi Sana sema huyo yesu mweusi mchafu mchafu ni wa wapi
Nchi hii jirani yetu imekuwa ikikumbwa na wimbi la ongezeko la ma Yesu feki kila kukicha.
View attachment 2496916
She is the queen,amebarikiwa kuLiko wanawake wote
Tulimezeshwa? Mimi Bujibuji Simba Nyamaume na nani?Sura Ya yesu haijulikani MLIMEZESHWA MATANGO PORI
Kama Mrisho Mpoto
Kwa MpalangeDah huyu yesu mbona kama katokea buza kwa lulenge [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kwa Mpalange
Kumbe yule mzee wa Bunge aliyesema yesu alioa hakukoseaš¤£Kama Mrisho Mpoto