Kwanini nchi jirani wanakabiliwa na wingi wa Yesu feki?

Kwanini nchi jirani wanakabiliwa na wingi wa Yesu feki?

Ndio athari za mwafrika kujiingiza kichwa kichwa kwenye hizi dini feki za kuja kwa meli. Hata upande wa pili pia, kwa wale wafuga ndevu, huwa hakuna afueni wala nafasi ya 'spirituality' ya kweli ya mtu mweusi.

Sijui ni nani huyo ambaye aliwahadaa waafrika kwamba ukiabudu Mungu ni lazima awe Mungu wa mzungu au mwarabu mara sijui myahudi. Ndio maana huwa nawaheshimu sana wahindi, ikifika ni kwenye suala la dini. Dini za mababu zetu zilitufaa na zilitutosha sana enzi hizo. Ila kwa upumbavu wetu siku hizi tunajivunia sana kuwa watumwa.

Thaaaaiii thathaiya Ngai thaaaaiii!

Shida yetu ni kuto document mambo. Usikute kulikuwa na manabii na mitume kibao wa kiAfrika. Lkn kwa sababu mambo yao hayakuandikwa, ndiyo maana hakuna tunachojua kuwahusu.
 
Back
Top Bottom