Raymanu KE
JF-Expert Member
- Jan 20, 2022
- 8,611
- 16,118
Aisee nahisi wenzetu kuna shida mahali, iweje kila siku ma Yesu waibuke kwao tu?
Kenya ni nchi iliyo barikiwa sana. Kuiponda Kenya ni kijitenga na baraka za KenyaBuji Buji una chuki binafsi na nchi yangu si bure.
Unapenda Sana kuiponda Kenya sijui kwanini
Upuuzi mtupu.That's for you to do, sitaki maswali
Ahahah.Lengo lako ni lipi kaka Bujibuji au uwadharirishe wakrsto na Mungu wetu YESU na tukijibu hoja zako somebody's wanaanza kutukana kupandwa munkari na kutetema!
Ndio athari za mwafrika kujiingiza kichwa kichwa kwenye hizi dini feki za kuja kwa meli. Hata upande wa pili pia, kwa wale wafuga ndevu, huwa hakuna afueni wala nafasi ya 'spirituality' ya kweli ya mtu mweusi.
Sijui ni nani huyo ambaye aliwahadaa waafrika kwamba ukiabudu Mungu ni lazima awe Mungu wa mzungu au mwarabu mara sijui myahudi. Ndio maana huwa nawaheshimu sana wahindi, ikifika ni kwenye suala la dini. Dini za mababu zetu zilitufaa na zilitutosha sana enzi hizo. Ila kwa upumbavu wetu siku hizi tunajivunia sana kuwa watumwa.
Thaaaaiii thathaiya Ngai thaaaaiii!
Alikuwepo mwenyenzi mungu joshua wanyonyi. Tulimtembelea akatuambia yesu yuko nje anacheza na watoto wenzie!Nchi hii jirani yetu imekuwa ikikumbwa na wimbi la ongezeko la ma Yesu feki kila kukicha.
View attachment 2496916
wanyonyi alikufa wakaenda kumzika usiku ili wasionekane!Nchi ya Kenya Ina mungu wengi sana kuliko zingine. Kuna jehovah wanyonyi, sijui kuna nani wanaibuka KILA siku
Kama wakina mwamposa huku TZNi wapigaji tu...