Kwanini nchi tajiri za Waarabu hazisaidii nchi masikini wakati wana utajiri usiomithilika?

Kama nchin ipi "masikini"?
 
Ww jamaa tangu Trump asitishe misaada ni kama umechanganyikiwa, nadhani ulikuwa mnufaika wa vi ngo vya kipigaji sasa vina enda kufa una haha.
Tukiondoa madini na rasilimali tulizo nazo ardhi ya kilimo tuliyo nayo tukiitumia vizuri kuzalisha mazao na kuuza nje tuna weza pata pesa kuzidi pesa ambazo anazipata UAE 🇦🇪 kwa kuuza mafuta yake.
 
Sio kutoa msaada hata wananchi wao hukimbilia kwa makafiri kila siku
Bila shaka unekalili au ni huna akili.
Katika msako wa wahamiaji unao endelea Marekani umesha sikia kuna raia yeyote aliye kamatwa kutoka kwenye hizo nchi zilizo tajwa hapo?

Hizo nchi zilizo tajwa na mleta mada kwasasa ndo kimbilio la wahamiaji kuliko nchi zote ulimwenguni.
 
Nionyeshe nchi moja iliyowahi kuwa tajiri kwa kuuza mahindi, mapera, ufuta na bidhaa za aina hiyo nikuonyeshe mbuzi anayetaga.
 
Kwa nini wanapenda mizozo nchi zilizo na dini yao.
 
Umeshiba tende wamekukamua kichuri na wewe unasimama kusimama na waarabu ambao wanakuchukulia dada zako singida na igunga unajiona ngozi ya kahawa umefika.
 
Nionyeshe nchi moja iliyowahi kuwa tajiri kwa kuuza mahindi, mapera, ufuta na bidhaa za aina hiyo nikuonyeshe mbuzi anayetaga.
Indonesia, Uchumi wao kwa kiasi kikubwa ni Mawese na Makaa ya mawe,
 
Indonesia, Uchumi wao kwa kiasi kikubwa ni Mawese na Makaa ya mawe,
Indonesia imewahi kuwa mzalishaji mkubwa wa mafuta ya petroleum hadi kuwa member wa OPEC. Kuanzia miaka ya 2000 ndio hifadhi ya mafuta yao ilianza kupungua.
 
Indonesia imewahi kuwa mzalishaji mkubwa wa mafuta ya petroleum hadi kuwa member wa OPEC
Kuwa OpeC hakuifanyi ni mzalishaji mkubwa Wa Petroli.

Mfano Export zao
-Makaa ya mawe $50B
-Mawese $28B
-petroli $11B

So unahisi wametolewa na Petroli ama Mawese na Makaa ya mawe?
 
Umeshiba tende wamekukamua kichuri na wewe unasimama kusimama na waarabu ambao wanakuchukulia dada zako singida na igunga unajiona ngozi ya kahawa umefika.
Acha kuleta lugha za watu washamba 🤣🤣...unatokea wapi kwani?
 
Hawasaidii kwa sababu wanaona mna utajiri kuwazidi
Wao wana mafuta tu na walipambana kuwa na mikataba ya win win

Sasa nyie mna kila aina ya madini, ardhi zenye rutuba, ukitupia mbegu zinaota
Wao ni jangwa tupu
Sasa hapo nani asaidiwe?
Mmewahi kuwapa hata nyanya za bure?

Siku mkijua kuwa nyie sio masikini basi mtawazidi kwa maisha hata hao
Ila itachukua miaka 1000 kujitambua
 
Hawa wafuasi wa Muddy sijui wana shida gani linapokuja swala la.mali ni wabinacsi kupita maelezo.
 

NAIBU Balozi wa Saudi Arabia nchini, Abdulazizi Hamad Alasim amekabidhi msaada wa kompyuta 120 na mashine saba za nakala zitakazotumika katika shule za msingi na sekondari katika wilaya saba za Jiji la Dodoma.

Mashine hizo na kompyuta vyenye thamani zaidi ya Sh milioni 600 zimekabidhiwa na Naibu Balozi kwa niaba ya Taasisi ya King Salman Humanitarian Aid and Relief Centre, kwenye Ukumbi wa Karimjee jijini Dar es Salaam jana.

Akizungumza baada ya makabidhiano hayo na waandishi wa habari, Naibu Balozi alisema wanategemea msaada huu utaongeza nguvu katika jitihada za serikali kukuza Teknolojia ya Habari na Mawasiliano (Tehama) shuleni.

“Nimekuja kwa niaba ya Taasisi ya Mfalme Salman kukabidhi msaada huu ulioombwa na Mbunge wa Viti Maalumu Dodoma, Fatma Hassan Toufiq, ili uende kwenye shule zilizopo Dodoma. Msaada huu tunategemea utawafikia walengwa na utasaidia kufikia malengo ya kukuza sekta ya Tehama kwa wanafunzi waliopo shule za msingi na sekondari,” alisema Naibu Balozi Alasim.

Jumla ya kompyuta 120 na mashine saba za kutolea nakala zimekabidhiwa kwa mbunge Toufiq ambaye ameishukuru Taasisi ya Mfalme Salman kwa kuwapatia vifaa hivyo.

“Tumepokea msaada huu na kwa moyo wa dhati tunaishukuru sana Taasisi ya Mfalme Salman. Vifaa hivi tutavigawa katika baadhi ya shule katika Mkoa wa Dodoma kwa wilaya zetu saba, angalau shule mbili mbili katika mkoa watanufaika na huu msaada na hizi ni shule za msingi na sekondari na mashine za kutolea nakala tutazigawa kila wilaya mashine moja ili kuwapunguzia gharama za kutoa nakala,” alisema.



Habari Leo
 
Hua wanatoa bila kelele...


Cc: Mahondaw
Siku Moja Shekhe Mwaipopo alisema yeye ni Msema kweli, Waislam wa Saudia ni wanafiki.

Akasema sehemu yoyote walipofika watajenga Msikiti na bomba la maji ya kupiga uzu tu

Akasema huwezi kuwaona wanajenga Shule, Hospitali, Barabara wala Kuchimba kisima cha maji cha jamii.

Hiyo video iko Youtube
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…