Kwanini nchi ya "Mozambique" tuliamua kuuita "Msumbiji" tofauti na nchi zingine za jirani zinazopakana na Tanzania zilizobaki na majina ya Kiingereza?

Okay...
 
Etymology. The country was named Moçambique by the Portuguese after the Island of Mozambique, derived from Mussa Bin Bique or Musa Al Big or Mossa Al Bique or Mussa Ben Mbiki or Mussa Ibn Malik, an Arab trader who first visited the island and later lived there.

Hiyo Musa Al big inaweza kuwa ndo chanzo cha Msumbiji.
 
kwamba kuanzia leo mtu akisema ugali anamaanisha chakula kitokanacho na mchele, na mtu akisema wali anamaanisha chakula kitokanancho na unga wa mahindi, ni suala la kukubaliana tu ili maelewano katika mazungumzo yawepo ili kukamilisha mawasiliano
Sawa mkuu
 
Uturuki wanaiita Tanzania..Tanzanya
Sawa mkuu, ila at least kuna mfanano baina ya Tanzania na Tanzanya kwa maana "i" na "y" zinatumikaga "interchangiably" katika lugha nyingi hapa duniani
 
Okay...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…