Infantry Soldier
JF-Expert Member
- Feb 18, 2012
- 15,892
- 16,476
- Thread starter
- #61
Okay...Na ndio maana lugha ni makubaliano yenye lengo la kuleta kuelewana, kama Minister tumeona tumuite waziri na speaker tumeona tumuite spika hayo ni makubaliano yetu baina ya watumiaji wa lugha, usiulize kwanini minister hatujamuita minista, otherwise hiyo ni sawa na kusema kwanini ugali haukuitwa wali, well inawezekana, ni suala la makubaliano tu,