Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndio wanajua kwa maana balozi wao yupo hapa TanzaniaKwani amerika wanajua wao ni wamarekani?
Leo ndiyo ninajua Job kwa kiswahili ni Ayubu...Hata wao hawaiiti msumbiji wala mozambique, nchi yao inaitwa Moçambica (inatamkwa mosanbiki).
Kwahiyi hata hilo jina la kiingereza sio lao, point yangu ni kwamba hiyo ni kawaida kabisa. Baadhi ya lugha hamua kubadili majina ya nchi / watu na kuvipa majina ya lugha zao.
Mifano mingine ni Deutschland (Germany), España (Spain), Italia (Italy), La France (France), Misr (Egypt) n.k
Mifano ya majina ya watu, Job (Ayubu), Noah (Nuhu), Yeshua (Jesus / Yesu) n.k
Sawa chiefLeo ndiyo ninajua Job kwa kiswahili ni Ayubu...
Na kwanini South Africa tumeiita Afrika kusini?
Good...kwa sababu ipo kusini mwa Africa
Really? Mbona kama ni Kiswahili mkuu?wafaransa wanaiita Africa ya kusini
Nimemuuliza mtoa mada ili ajue kwamba kiswahili ina namna yake ya kuita nchi na nchikwa sababu ipo kusini mwa Africa
wafaransa wanaiita Africa ya kusini
Mkuu, afrika ya kusini na south africa si unaona kuna tafsiri ya moja kwa moja kati ya kiingereza na kiswahili tofauti na mozambique na msumbiji?Nimemuuliza mtoa mada ili ajue kwamba kiswahili ina namna yake ya kuita nchi na nchi
Mozambique si kiswahili, ndio sababu, Kenya Rwanda nk ni kiswahili tayarMkuu, afrika ya kusini na south africa si unaona kuna tafsiri ya moja kwa moja kati ya kiingereza na kiswahili tofauti na mozambique na msumbiji?
Sawa mkuu. Unaoneje kama ingeitwa "Mozambiki"? Au unajua asili ya jina Msumbiji?Mozambique si kiswahili, ndio sababu, Kenya Rwanda nk ni kiswahili tayar
Kwanini Uingereza hatuiti Inglandi?Sawa mkuu. Unaoneje kama ingeitwa "Mozambiki"? Au unajua asili ya jina Msumbiji?
Sijui kwanini hatuiiti hivyo, lakini hata kama tungeiita Ingilandi sio mbaya. Je, unajua asili ya jina Msumbiji?Kwanini Uingereza hatuiti Inglandi?
Mzizima kuwa Dar es Salaam!!!!!Hata wao hawaiiti msumbiji wala mozambique, nchi yao inaitwa Moçambica (inatamkwa mosanbiki).
Kwahiyi hata hilo jina la kiingereza sio lao, point yangu ni kwamba hiyo ni kawaida kabisa. Baadhi ya lugha hamua kubadili majina ya nchi / watu na kuvipa majina ya lugha zao.
Mifano mingine ni Deutschland (Germany), España (Spain), Italia (Italy), La France (France), Misr (Egypt) n.k
Mifano ya majina ya watu, Job (Ayubu), Noah (Nuhu), Yeshua (Jesus / Yesu) n.k
Na ndio maana lugha ni makubaliano yenye lengo la kuleta kuelewana, kama Minister tumeona tumuite waziri na speaker tumeona tumuite spika hayo ni makubaliano yetu baina ya watumiaji wa lugha, usiulize kwanini minister hatujamuita minista, otherwise hiyo ni sawa na kusema kwanini ugali haukuitwa wali, well inawezekana, ni suala la makubaliano tu, kwamba kuanzia leo mtu akisema ugali anamaanisha chakula kitokanacho na mchele, na mtu akisema wali anamaanisha chakula kitokanancho na unga wa mahindi, ni suala la kukubaliana tu ili maelewano katika mazungumzo yawepo ili kukamilisha mawasilianoSijui kwanini hatuiiti hivyo, lakini hata kama tungeiita Ingilandi sio mbaya. Je, unajua asili ya jina Msumbiji?
Really? Mbona kama ni Kiswahili mkuu?
Sawa mkuunimetafsiri tu,