Kwanini wasiwe na wataalam wa kudhibiti?Tunahofia pesa chafu
Wanataka upokee kwa njia ya M-Pesa labda [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23], utani tu,Wandugu kwanini Tanzania hawaruhusu watu kupokea malipo kwa Paypal, njia rahisi kabisa?
Siku hizi kuna kazi nyingi sana mtu unaweza kufanya mtandaoni. Ni wewe tu na bando lako na simu yako au Kompyuta yao. Unaweza kufanya kazi ipo US au kokote duniani. Na njia rahisi ya malipo ni kupitia paypal. Kuna wengine wanablogs na sites zingine ambazo wanapiga pesa. Na kote huko njia rahisi ya malipo ni Paypal. Lakini hii njia haifanyi kazi Tanzania.
Kuna sababu gani ya msingi?
Nilimlipa mtu USA kwa njia ya Paypal, kesho yake nilipigiwa simu na kuulizwa hayo malipo niliyotuma yalikuwa ya nini, wenzetu wanajua kudhibiti na siyo kuzuia technology.Kwanini wasiwe na wataalam wa kudhibiti?
Sijajua kulipa kwa paypal, lakini tatizo la kulipa nje halipo kabisa. Mfano Visa ya equity inalipa bila maneno. Hata mpesa mastercard inafanya malipo vizuri. Shida ipo kwenye kupokea pesa.Wanataka upokee kwa njia ya M-Pesa labda [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23], utani tu,
Anyway vp kuhusu kulipa? Mana mimi mwaka 2016 nilipa mtu kwa njia ya Paypal, je kuna mabadiliko ama? Nilihamisha pesa kutoka Bank Account yangu (EQUITY) na kupeleka kwenye Paypal account yangu then nkafanya malipo. Sijui kwa sasa kama kuna mabadiliko
Hapo nimekupata mkuu, sikujaribu kama naweza kurudisha pesa kutoka paypal account yangu kwenda kwa Bank Account. Nitajaribu ili niwe na ushahidi binafsiSijajua kulipa kwa paypal, lakini tatizo la kulipa nje halipo kabisa. Mfano Visa ya equity inalipa bila maneno. Hata mpesa mastercard inafanya malipo vizuri. Shida ipo kwenye kupokea pesa.
Kulipa inawezekana lakini kupokea uweziWanataka upokee kwa njia ya M-Pesa labda [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23], utani tu,
Anyway vp kuhusu kulipa? Mana mimi mwaka 2016 nilipa mtu kwa njia ya Paypal, je kuna mabadiliko ama? Nilihamisha pesa kutoka Bank Account yangu (EQUITY) na kupeleka kwenye Paypal account yangu then nkafanya malipo. Sijui kwa sasa kama kuna mabadiliko
Sio paypal pekee bali hata skrill huwezi pokea pesa.
Nchi yeru bado iko nyuma sana katika malipo ya kimtandao hasa hii ya kimataifa
Bank ipi mkuu?Skrill inafanya kazi mkuu,kutuma na kupokea.Nimelink kadi ya kibongo na inakubali kutuma na ku withdraw bila tatizo