Kwanini nchi yetu hairuhusu watu kulipwa kwa Paypal? Kuna sababu gani ya msingi?

Kwanini nchi yetu hairuhusu watu kulipwa kwa Paypal? Kuna sababu gani ya msingi?

Wandugu kwanini Tanzania hawaruhusu watu kupokea malipo kwa Paypal, njia rahisi kabisa?

Siku hizi kuna kazi nyingi sana mtu unaweza kufanya mtandaoni. Ni wewe tu na bando lako na simu yako au Kompyuta yao. Unaweza kufanya kazi ipo US au kokote duniani. Na njia rahisi ya malipo ni kupitia paypal. Kuna wengine wanablogs na sites zingine ambazo wanapiga pesa. Na kote huko njia rahisi ya malipo ni Paypal. Lakini hii njia haifanyi kazi Tanzania.

Kuna sababu gani ya msingi?
Aliyesema imekatazwa nani?
 
Bank ipi mkuu?
Skrill kutuma kwa kadi haina tatizo, tatizo kupokea
UBA mkuu
Screenshot (393).png
 
Aliyesema imekatazwa nani?
Sera za kifedha Tz ndizo zinazozuia watz kupokea pesa kwa njia ya payapal. Hii pia iko malawi, na uganda. Wenzetu kenya wako mbali zaidi unaweza kupokea pesa paypal, skrill, wise na kwenye market platform ukazihamisha direct kwa safaricom mpesa
 
Sera za kifedha Tz ndizo zinazozuia watz kupokea pesa kwa njia ya payapal. Hii pia iko malawi, na uganda. Wenzetu kenya wako mbali zaidi unaweza kupokea pesa paypal, skrill, wise na kwenye market platform ukazihamisha direct kwa safaricom mpesa
Mkuu- umekwama wapi?
 
Bora nitumia ma agent mkuu
inafatana na hela yako inatoka wapi.Kuna hela zingine ni lazima ziingie kwenye bank au ewallet yenye jina lako,hamna njia ya mkato.Kwahiyo mtu unakuwa huna option zaidi ya kusubiri hizo siku 3-5 mpunga usome
 
Mkuu- umekwama wapi?
Siyo mimi ni watz wote wanaotaka kupokea pesa kwa njia ya paypal bila kutumia akaunti za kufoji location. In case unataka kuniambia kuhusu kufoj location hilo nalijua na nna akaunti nne verified za kenya.
Jambo ambalo wengi tunatamani ni serikali ibadili sera tuache kufoji ikiwezekana nasi mtu uanahamisha pesa from paypal to vodacom mpesa ai tigo et el
 
Unajua sometime unaamua tu ukae kimya mana ata ukiandika umu sizani km izi mada zinafika mahari usika mana nimiaka sasa tunaongelea maswala ya paypal na kwann isitafutwe njia yakufikia mamlaka usika wizara ya fedha au bot watoe tamko km aiwezekani bc wabongo tuwetu waarifu tutafute wakenya waanze kua wanafungua account za Paypal nchin kwao na uzuri kenya paypal unatoa via mpesa ya safaricom na safari com rain yao ukija nayo bongo tu fresh inafanyakaz bc watuuzie sisi acc z Paypal mna atuwez acha ela zetu zinapotea mitandaoni aukushindwa kutufikia sababu ya watu kishindwa kufanya kaz kisasa nchi inakua ya kiboya yani unaweza sema Tanzania ni moja ya vijiji vilivyopo dunian.
 
Tatizo huwa tunahisi Tanzania ni taifa teule, yaani halihitaji maingiliano na mataifa mengine. Ni uoga wa bure kuogopa paypal wakati nchi zingine zinatumia, na maisha yanasonga. Lazima Watanzania tujue, hii Dunia ina nchi nyingi sana, tumeikuta, na tutaiacha.
Tunajifanya sisi ni special sana yani,
Wakati tunapitwa na wakati, uoga wetu ndio umasikini wetu,
Nchi nyingine wanakuza kipato kwa njia hiyo na hakuna baya lolote linalotokea
 
Money laundering
Paypal ni hatari katika kuhakiki pesa nadhani kuliko hata mfumo wetu. One mistake wanashikilia pesa yako. Ni uoga tu wa serikali. Afadhali waruhusu serikali ipate foreign exchange kuliko kuruhusu tu tulipie vtu wapoteze foreign currency
 
Back
Top Bottom