Aliyesema imekatazwa nani?Wandugu kwanini Tanzania hawaruhusu watu kupokea malipo kwa Paypal, njia rahisi kabisa?
Siku hizi kuna kazi nyingi sana mtu unaweza kufanya mtandaoni. Ni wewe tu na bando lako na simu yako au Kompyuta yao. Unaweza kufanya kazi ipo US au kokote duniani. Na njia rahisi ya malipo ni kupitia paypal. Kuna wengine wanablogs na sites zingine ambazo wanapiga pesa. Na kote huko njia rahisi ya malipo ni Paypal. Lakini hii njia haifanyi kazi Tanzania.
Kuna sababu gani ya msingi?
Really? Ikiwa hivi itanibidi kufungua akaunti.Skrill inafanya kazi mkuu,kutuma na kupokea.Nimelink kadi ya kibongo na inakubali kutuma na ku withdraw bila tatizo
UBA mkuuBank ipi mkuu?
Skrill kutuma kwa kadi haina tatizo, tatizo kupokea
Asante mkuu, inachukua muda gani?
Skrill haina tatizo kuwithdraw.Mi haijawahi nisumbua,nimekuwa verified 2017 till today nachomoa mpunga bila shidaReally? Ikiwa hivi itanibidi kufungua akaunti.
3-5 daysAsante mkuu, inachukua muda gani?
Bora nitumia ma agent mkuu3-5 days
Kwenye withdraw hakikisha kadi ni visa siyo.mastercard. master card wana masharti kama ya mgangaReally? Ikiwa hivi itanibidi kufungua akaunti.
Sera za kifedha Tz ndizo zinazozuia watz kupokea pesa kwa njia ya payapal. Hii pia iko malawi, na uganda. Wenzetu kenya wako mbali zaidi unaweza kupokea pesa paypal, skrill, wise na kwenye market platform ukazihamisha direct kwa safaricom mpesaAliyesema imekatazwa nani?
Mkuu- umekwama wapi?Sera za kifedha Tz ndizo zinazozuia watz kupokea pesa kwa njia ya payapal. Hii pia iko malawi, na uganda. Wenzetu kenya wako mbali zaidi unaweza kupokea pesa paypal, skrill, wise na kwenye market platform ukazihamisha direct kwa safaricom mpesa
inafatana na hela yako inatoka wapi.Kuna hela zingine ni lazima ziingie kwenye bank au ewallet yenye jina lako,hamna njia ya mkato.Kwahiyo mtu unakuwa huna option zaidi ya kusubiri hizo siku 3-5 mpunga usomeBora nitumia ma agent mkuu
Siyo mimi ni watz wote wanaotaka kupokea pesa kwa njia ya paypal bila kutumia akaunti za kufoji location. In case unataka kuniambia kuhusu kufoj location hilo nalijua na nna akaunti nne verified za kenya.Mkuu- umekwama wapi?
Tunajifanya sisi ni special sana yani,Tatizo huwa tunahisi Tanzania ni taifa teule, yaani halihitaji maingiliano na mataifa mengine. Ni uoga wa bure kuogopa paypal wakati nchi zingine zinatumia, na maisha yanasonga. Lazima Watanzania tujue, hii Dunia ina nchi nyingi sana, tumeikuta, na tutaiacha.
Paypal ni hatari katika kuhakiki pesa nadhani kuliko hata mfumo wetu. One mistake wanashikilia pesa yako. Ni uoga tu wa serikali. Afadhali waruhusu serikali ipate foreign exchange kuliko kuruhusu tu tulipie vtu wapoteze foreign currencyMoney laundering