kwanini nchi zenye ukaribu na US/wazungu zinafanikiwa kiuchumi kuliko zile neutral au zenye ukaribu na Russia/China au Warabu

matunduizi

JF-Expert Member
Joined
Aug 20, 2018
Posts
7,968
Reaction score
19,368
Mfano Korea Kusini
Taiwan
Kwa East Africa Kenya.
Israel middle east
Rwanda (japo bado anaungaunga)

Kimsingi nimejaribu kuangalia kwa ukaribu hata nchi yetu tukiamua kuqnzia sasa tufungamane bega kwa bega na wazungu tu na US, tukawapiga chini waarabu, wachina, warusi tunaweza kutoboa kirahisi.

Wataalamu wa mambo ya uchumi na mambo ya maendeleo ya nchi masikini shusheni point.
 
Kama nchi zipi?
 
Mzungu hakai kihasara wala kuwa na urafiki usio na faida mfano.Taiwani wako vizuri kwenye teknolojia uzalishaji wa v(chip),ambayo ni faida kwa mzungu,yuko Korea kusini kwa sababu ya teknolojia na ni jirani na maadui zake china na Korea kaskazin.

Tukija kenya wako karibu kwani pale kenya wana base yao ya kijeshi,ambayo husaidi kupata data za East Africa pamoja na ukanda wa Somalia.kumbuka miaka ya 90.pale Somalia mmarekani alianzisha vita lakini akapoteza vibaya sana.
Mzungu yupo middle east(izrael)kwa sababu ya maslahi ya middle east.
 
Usitolee mfano kenya ambayo ina-umaskini wa kutisha bora hata Tanzania
 
Mfano Korea Kusini
Taiwan
Kwa East Africa Kenya.
Israel middle east
Rwanda (japo bado anaungaunga)

Kimsingi nimejaribu kuangalia kwa ukaribu hata nchi yetu tukiamua kuqnzia sasa tufungamane bega kwa bega na wazungu tu na US, tukawapiga chini waarabu, wachina, warusi tunaweza kutoboa kirahisi.

Wataalamu wa mambo ya uchumi na mambo ya maendeleo ya nchi masikini shusheni point.

Hivi mnawazaga nini mnapoangalia maendeleo ya watu .

Hivi Kenya watu wa kawaida wana maendeleo gani ?

Kenya maskini kupata chakula na malazi ni mtihani mkubwa sana.

Tanzania tumekosa kiongozi mkali kama Mwabukusi ,Lisu , Dr. Slaa na anagalau Majaliwa . Hii inchi inatakiwa iongoze na Jeshi miaka 10 tu tutakaribiana na Ufaransa.

Lakini Kenya ikitawaliwa kijeshi itakua maskini kuliko Burundi . Tanzania haihitaji Marekani wala nchi za magharibi kuendelea bali tunahitaji kiongozi bora anayeweza kusimamia rasilimali zetu kwa uzalendo mkubwa. Mfano Waliopo hawana uwezo wa kusoma ripoti ya CAG siku mbili usiku na mchana na kutoa maamuzi.

Kile kichwa hakiwezi kusoma ripoti yenye kurasa 12000 na kujua mapungufu . Rais wa Bangladeshi Atawaambia ,' Hili nalo nendeni mkaliangalie " . Pitieni hiyo ripoti muangalie penye mapungufu mrekebishana wenyewe . Mimi siwezi kufokafoka. Wanapitia taarifa ya CAG wanamwambia iko vizuri wanaopiga kelele wanataka kupoteza malengo yako mema ya kuwafikia wengi.
Cha msingi ziba masikio .

Wazungu kamwe hawana mkakati wa kututoa kwenye utegemezi zaidi ya kutufanya wategemezi kwa kutuletea wahuni kututawala kwa mgongo wa Demokrasia uchwara.
 
Vipi south vs North korea.
Kenya kwa muonekano wa jumla yuko mbele yetu karibu kila kitu.
Ndio maana wanaujasiri kuja kuchota ardhi huku burebure wakati sisi hatuwezi.
Wanaujasiri kutangaza vitu vyetu kqma vyao ulaya na US. Hii inaonyesha amekuzidi akili kidogo.
 
Back
Top Bottom