matunduizi
JF-Expert Member
- Aug 20, 2018
- 7,968
- 19,368
Kama nchi zipi?Mfano Korea Kusini
Taiwan
Kwa East Africa Kenya.
Israel middle east
Rwanda (japo bado anaungaunga)
Kimsingi nimejaribu kuangalia kwa ukaribu hata nchi yetu tukiamua kuqnzia sasa tufungamane bega kwa bega na wazungu tu na US, tukawapiga chini waarabu, wachina, warusi tunaweza kutoboa kirahisi.
Wataalamu wa mambo ya uchumi na mambo ya maendeleo ya nchi masikini shusheni point.
Nimetaja mfanoKama nchi zipi?
Sasa mbona Sioni mafanikio ya kiuchumi ya hizo nchi tajwa labda utafute mfano mwingineNimetaja mfano
Kwamba korea kusini na taiwani hakuna maendeleoSasa mbona Sioni mafanikio ya kiuchumi ya hizo nchi tajwa labda utafute mfano mwingine
Mzungu hakai kihasara wala kuwa na urafiki usio na faida mfano.Taiwani wako vizuri kwenye teknolojia uzalishaji wa v(chip),ambayo ni faida kwa mzungu,yuko Korea kusini kwa sababu ya teknolojia na ni jirani na maadui zake china na Korea kaskazin.Mfano Korea Kusini
Taiwan
Kwa East Africa Kenya.
Israel middle east
Rwanda (japo bado anaungaunga)
Kimsingi nimejaribu kuangalia kwa ukaribu hata nchi yetu tukiamua kuqnzia sasa tufungamane bega kwa bega na wazungu tu na US, tukawapiga chini waarabu, wachina, warusi tunaweza kutoboa kirahisi.
Wataalamu wa mambo ya uchumi na mambo ya maendeleo ya nchi masikini shusheni point.
Mnajiandikisha kwenye nini?Duuuuh , hivi umejiandikisha lakini
Usitolee mfano kenya ambayo ina-umaskini wa kutisha bora hata TanzaniaMzungu hakai kihasara wala kuwa na urafiki usio na faida mfano.Taiwani wako vizuri kwenye teknolojia uzalishaji wa v(chip),ambayo ni faida kwa mzungu,yuko Korea kusini kwa sababu ya teknolojia na ni jirani na maadui zake china na Korea kaskazin.
Tukija kenya wako karibu kwani pale kenya wana base yao ya kijeshi,ambayo husaidi kupata data za East Africa pamoja na ukanda wa Somalia.kumbuka miaka ya 90.pale Somalia mmarekani alianzisha vita lakini akapoteza vibaya sana.
Mzungu yupo middle east(izrael)kwa sababu ya maslahi ya middle east.
Na wao wanajivunia vifaa vya magharibu. Magari, simu, etc.Waarabu ,wachina na hao warusi na wao wanacheza green card,kupata nafasi ya kuishi baadhi ya nchi za ulaya na America.
Tumalize kwanza hili mkuu. Tunaweza kubadili gia tukaanza kujipendekeza kwa matajiri moja kwa moja bila ya kuwa tuko kotekoteDuuuuh , hivi umejiandikisha lakini
Mfano Korea Kusini
Taiwan
Kwa East Africa Kenya.
Israel middle east
Rwanda (japo bado anaungaunga)
Kimsingi nimejaribu kuangalia kwa ukaribu hata nchi yetu tukiamua kuqnzia sasa tufungamane bega kwa bega na wazungu tu na US, tukawapiga chini waarabu, wachina, warusi tunaweza kutoboa kirahisi.
Wataalamu wa mambo ya uchumi na mambo ya maendeleo ya nchi masikini shusheni point.
kwenye daftari la mpiga kura mkaaziMnajiandikisha kwenye nini?
Kwamba korea kusini na taiwani hakuna maendeleo
Vipi south vs North korea.Hivi mnawazaga nini mnapoangalia maendeleo ya watu .
Hivi Kenya watu wa kawaida wana maendeleo gani ?
Kenya maskini kupata chakula na malazi ni mtihani mkubwa sana.
Tanzania tumekosa kiongozi mkali kama Mwabukusi ,Lisu , Dr. Slaa na anagalau Majaliwa . Hii inchi inatakiwa iongoze na Jeshi miaka 10 tu tutakaribiana na Ufaransa.
Lakini Kenya ikitawaliwa kijeshi itakua maskini kuliko Burundi . Tanzania haihitaji Marekani wala nchi za magharibi kuendelea bali tunahitaji kiongozi bora anayeweza kusimamia rasilimali zetu kwa uzalendo mkubwa. Mfano Waliopo hawana uwezo wa kusoma ripoti ya CAG siku mbili usiku na mchana na kutoa maamuzi.
Kile kichwa hakiwezi kusoma ripoti yenye kurasa 12000 na kujua mapungufu . Rais wa Bangladeshi Atawaambia ,' Hili nalo nendeni mkaliangalie " . Pitieni hiyo ripoti muangalie penye mapungufu mrekebishana wenyewe . Mimi siwezi kufokafoka. Wanapitia taarifa ya CAG wanamwambia iko vizuri wanaopiga kelele wanataka kupoteza malengo yako mema ya kuwafikia wengi.
Cha msingi ziba masikio .
Wazungu kamwe hawana mkakati wa kututoa kwenye utegemezi zaidi ya kutufanya wategemezi kwa kutuletea wahuni kututawala kwa mgongo wa Demokrasia uchwara.