Kwanini nchi zinazoongozwa na sharia zote hazina amani ?

Hii ni kutokana na post uloisoma nyuma kukatazwa kwa milio ya simu. Lakini ukajisifia kuhusu "mambo yetu yale", ni jinsi gani inavoonesha ulivyokuwa akili mchungwa kwa kuona faghari watu wakidhalilishwa mbele ya camera, sijui dini yako ndo inavofundisha ivo? Ili nikupe elimu kidogo sababu za kukatazwa izo ringtone ni pale kuwa lengo la Quran halifikiwi. Quran inatakiwa isomwe na isikilizwe. Unapoweka ringtone maana hupotea kabisa, ikilia lengo lako sio kuisikiliza bali lengo lako ikushtue kuwa simu inaita na ubaya zaidi, kupokea simu kabla aya haijamaliza, ni kupoteza maana totally.

Mtoa mada, nikuulize, KENYA inaaongozwa na sharia nayo? Na wewe nikuelimisha, hakuna nchi inayohukumu kwa kutumia sharia law kikamilifu ndio maana ukaona hakuna amani, vipi amani itakuwepo kama kuna dhulma? Katika uislam sheria inamgusa kila mtu, leo nambie lini mfalme wa saudia akaguswa na sharia? Sharia si kwa wananchi tu, bali ni kwa watu wote mpaka kiongozi, na kitu chengine ni mfumo wa kuwepo kwa vyama, na kuwepo kwa rais ambae dini haijui. Soma historia ya Dola za Kikhalifa. Katika zama za ukhalifa ilifikia wakati hakuna ata maskini wa kupewa sadaka au Zakka, pia kulikuwa na system ambayo, kama unavoona mailbox lile la barabarani, wakati wa dola ya kiislam ilikuwepo kwa ajili ya kuwekwa pesa, mwenye shida huenda akachukua kiasi akitakacho, lakini pia hakupatikana wa kuzichukua kwa sababu hakukuwa na mwenye shida ya mali, na watu walikiwa wakiishi na amani kabisa. Hakuna nchi yoyote inayohukumu kwa sharia law, sharia ya kiislam inataka kiongozi awe KHALIFA (sio raisi au mfalme) tena awe anaijua dini juu chini chini juu, anachaguliwa kwa shuraa (mashauriano) sio uchaguzi kama huu wa ccm na cuf, tena sio kila mtu anamchagua bali wenye elimu ya dini ya hali ya juu yaani maulamaa. Sharia inamtaka Khalifa ahakikishe kila mtu anapata milo 3 ya kushiba uhakika kabla yeye kiongozi mwenyewe hajashiba. Wapi duniani leo kuna dola ya kiislam? Kasomeni Islamic Caliphate mjifunze

jazakallahu khair
 
With a lot of thanks,baaraka LLAH fiika bother in faith
 
Acha uongo wa ajabu alafu mtu kama huyu utaskia anakwambia yuko chuo kikuu!!!

I hope must come from Marian schools,usijali kaka c unajuakuhitimu sio mwisho wa ujinga,ndio maana sishangai kwa nini nchi yetu haiendelei
 
izlam ni dini iliyoanzishwa na CIA. Wasiojua historia na siri za dunia hii watabisha.

Nilipoambiwa hiyo siri nimenyamaza kimia sibishani nao tena.
Hivyo tu baaasi,sasa ww badala ya kuwa kichwa ndio mtu afadhali ungelijiita TUMBO ndio mtu maana naona hata unachokiandika haukijui
 
wanashadadia boko haram eti wapingaji wa elim ya ulaya na marekani lakini wanafanya hivo online thr internet hahahahahahahaahhaahhahahahahah na mkononi wana smartphones zenye android os hahahahahahahahahaahhhahah tena wamevaa tai hapo walipo hahahahahahaahahahahahah alafu wanacomment kwa kingereza hahahahahahahahahaaa

ongezea na yako hapo chini.......... ukimalizia na hahahahahahahahahahhaha:baby::baby::baby::majani7::majani7::majani7:
 
Jamani walau tuwe tunasomasoma kabla hatujaleta mada..
 
Habari zenu.

Nadhani sote tunajua kinachoendelea Nigeria, Kenya, Misri, Sudan na orodha inaendelea.

Nchi zote zenye kufuata sheria za kiislam hakuna hata moja yenye amani. Kwanini?

Lengo ni kuwa serikali yetu ifikiri kwanza kabla haijaamua.
Akili ndogo kabisa,fanya tafiti usikurupuke...nadhani hujui Sharia nini na nchi zipi hufuata sharia.
 
Ujumbe wa leo.
120514mic1.jpg
 
Habari zenu.

Nadhani sote tunajua kinachoendelea Nigeria, Kenya, Misri, Sudan na orodha inaendelea.

Nchi zote zenye kufuata sheria za kiislam hakuna hata moja yenye amani. Kwanini?

Lengo ni kuwa serikali yetu ifikiri kwanza kabla haijaamua.

Mkui hii mifano hapa
Fanya utafiti tena
 
wanashadadia boko haram eti wapingaji wa elim ya ulaya na marekani lakini wanafanya hivo online thr internet hahahahahahahaahhaahhahahahahah na mkononi wana smartphones zenye android os hahahahahahahahahaahhhahah tena wamevaa tai hapo walipo hahahahahahaahahahahahah alafu wanacomment kwa kingereza hahahahahahahahahaaa

ongezea na yako hapo chini.......... ukimalizia na hahahahahahahahahahhaha:baby::baby::baby::majani7::majani7::majani7:

aisee umenichekesha na hii post yako!!! lakini ni kweli kabisa...boko haramu maanake western education is forbiden....
lakini karibu kila wanachotumia ni PRODUCT OF WESTERN EDUCATION!!!!!!
 
Ivi unataka kutuaminisha nchi zote zisizotumia sheria za kiislamu zina amani? Nini maana ya amani ya nchi?

Na jee kama nchi za kiislamu hazina amani, ni nini kinafanya zisiwe na amani?
How about Saudi Arabia?

saudi arabia hakuna amani unatakiwa ujue absence of war or violence does not mean there is peace!!! kule ni kama watu wote wamefungwa jela ya nje ukileta disapproval tu watu wanakata kichwa so usiseme kuna aman, aman ya kweli ni ile inayopatika ikiendana na uhuru wa watu!!!
 
thread za namna hii siku hizi ni nyingi au watu wanaona raha watu wengi wanavyo zijibu.(itakuwa jitu limeanzisha thread ya hivi halafu linamuonyesha bwana'ke jinsi linavyojibiwa huku limeukalia 'mgegedo')
 
Habari zenu.

Nadhani sote tunajua kinachoendelea Nigeria, Kenya, Misri, Sudan na orodha inaendelea.

Nchi zote zenye kufuata sheria za kiislam hakuna hata moja yenye amani. Kwanini?

Lengo ni kuwa serikali yetu ifikiri kwanza kabla haijaamua.

Katika hizo nchi ulizozitaja, zinafuata sharia !?
Ni viroba au umekata tamaa na maisha !???
 
izlam ni dini iliyoanzishwa na CIA. Wasiojua historia na siri za dunia hii watabisha.

Nilipoambiwa hiyo siri nimenyamaza kimia sibishani nao tena.

Me najua ni vatcan roma ndo waliianzisha islam..google how vatican created islam?

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Hivi kuna jema katika uislamu??

Sent from my Nokia Lumia using Tapatalk
 
Habari zenu.

Nadhani sote tunajua kinachoendelea Nigeria, Kenya, Misri, Sudan na orodha inaendelea.

Nchi zote zenye kufuata sheria za kiislam hakuna hata moja yenye amani. Kwanini?

Lengo ni kuwa serikali yetu ifikiri kwanza kabla haijaamua.
One of the attributes of Allah is going against peace.
 
Back
Top Bottom