mwanzaWapi huko mkuu!?
Mazingira yake kimaisha yukoje kuanzia mahitaji hadi hali ya hewa aipendayo?Inawezekana lkn mi nikimuona namuona mgumu isitoshe mkoa wa shinyanga wapo wengi sana.
Habari za asubuhi habari za ijumaa wana jf.
Swali langu kwanini ndege huyu ameitwa ndege mwaarabu?
1.kafanana na waarabu?
2.anatabia za waarabu?
Mi sijui ndio maana nimelileta kwenu mnisaidie nimekuwa nikiwaza siku nyingi, kwanini asiwe ndege msukuma au ndege muha? Why mwaarabu
Ahsante mkuu kwa ufafanuzi wako.Haitwi Mwarabu anaitwa Marabou Stork,huyu ni maarufu kwa kua shingoni kwake anamfukao(gullar sac) ambao anaweza weka mifupa mikubwa kabisa na kumwagia nyongo kwa muda mfupi ikasagika yote,ni mkubwa pia,kwa hiyo huwa mfuko una rahisisha digestion,sasa sina hakika kama hilo jina ndo limechukuliwa uarabuni au