bombu
JF-Expert Member
- Jun 8, 2011
- 1,127
- 542
Unechanganya namba hahahahaaaaaHuyo kwetu tunamuita 'kimilanzoka' [emoji1]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unechanganya namba hahahahaaaaaHuyo kwetu tunamuita 'kimilanzoka' [emoji1]
Hata wewe umechanganya desa [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Sawa mkuu, Ndege huyu anapenda sana mazingira ambayo ni ya upatikanaji wa chakula(mizoga) mara kwa mara na pia huwa anapenda pembezoni mwa bahari au ziwa ambapo watu hujishughulisha na shughuli za uzalishaji wa samaki. Kule kwetu ndege huyu tunamuita TAI, Tunamuita hivyo kwa sababu akimeza chakula kabla ya kushuka sehemu ya shingo lake hutuna na kuning'inia mithili ya tai.
Mkuu huyu sio kimilanzokaHuyo kwetu tunamuita 'kimilanzoka' [emoji1]
Hahaha mkuu mbona sioni zege hapo!Hata wewe umechanganya desa [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]